Swali kwa dada zangu wa JF

Swali kwa dada zangu wa JF

Kufa hafi ila atapata taabu sana. Ki ubinadamu lazima utampa anywe. Uongo ?
Aisee me nachukia kuuza mwili...yaan nikiona mtu anaongelea kuhusu kumnunua mwanamke napata hasira na kichefuchefu kabisa...sijui wenzangu huwa mnaichukuliaje hii issue? Eti nilale na mtu ili anipe hela? Je thamani ya mwili wangu inapimwa kwa hela? Nimekuwa nyama buchani?? Naheshimu mwili wangu na hisia zangu kuliko chochote...siwezi uza utu wangu hata kama napitia magumu kiasi gani....utu wangu haupimwi kwa kiasi chochote cha fedha....kwani mwili wa mwanamke ni bidhaa?? I really hate this! na Mungu aendelee kunisaidie nisije waza kulala na mwanaume eti kisa nina shida ya hela.
 
Thamani yangu kwanza..hiyo 2m naweza itafuta nikaipata haijalishi kwa muda gani
Ukibaki na msimamo huo huo nakuhakikishia njia yako ya kwenda peponi ni nyeupe mno.
 
Aisee me nachukia kuuza mwili...yaan nikiona mtu anaongelea kuhusu kumnunua mwanamke napata hasira na kichefuchefu kabisa...sijui wenzangu huwa mnaichukuliaje hii issue? Eti nilale na mtu ili anipe hela? Je thamani ya mwili wangu inapimwa kwa hela? Nimekuwa nyama buchani?? Naheshimu mwili wangu na hisia zangu kuliko chochote...siwezi uza utu wangu hata kama napitia magumu kiasi gani....utu wangu haupimwi kwa kiasi chochote cha fedha....kwani mwili wa mwanamke ni bidhaa?? I really hate this! na Mungu aendelee kunisaidie nisije waza kulala na mwanaume eti kisa nina shida ya hela.
Umeandika ukweli best hawawezi kukuelewa hao wanunua machangudoa
 
Aisee me nachukia kuuza mwili...yaan nikiona mtu anaongelea kuhusu kumnunua mwanamke napata hasira na kichefuchefu kabisa...sijui wenzangu huwa mnaichukuliaje hii issue? Eti nilale na mtu ili anipe hela? Je thamani ya mwili wangu inapimwa kwa hela? Nimekuwa nyama buchani?? Naheshimu mwili wangu na hisia zangu kuliko chochote...siwezi uza utu wangu hata kama napitia magumu kiasi gani....utu wangu haupimwi kwa kiasi chochote cha fedha....kwani mwili wa mwanamke ni bidhaa?? I really hate this! na Mungu aendelee kunisaidie nisije waza kulala na mwanaume eti kisa nina shida ya hela.
Kwahiyo Hutaki Mahari.. Nije kukuoa Bure
 
Sitampa afe tu kwa hiyo kiu .
Aisee me nachukia kuuza mwili...yaan nikiona mtu anaongelea kuhusu kumnunua mwanamke napata hasira na kichefuchefu kabisa...sijui wenzangu huwa mnaichukuliaje hii issue? Eti nilale na mtu ili anipe hela? Je thamani ya mwili wangu inapimwa kwa hela? Nimekuwa nyama buchani?? Naheshimu mwili wangu na hisia zangu kuliko chochote...siwezi uza utu wangu hata kama napitia magumu kiasi gani....utu wangu haupimwi kwa kiasi chochote cha fedha....kwani mwili wa mwanamke ni bidhaa?? I really hate this! na Mungu aendelee kunisaidie nisije waza kulala na mwanaume eti kisa nina shida ya hela.
Hahaha

Asee
 
Back
Top Bottom