Swali kwa dada zangu wa JF

Swali kwa dada zangu wa JF

Sasa hayo mapenzi au biashara? Umeona 2m nyingi, wenzako wanahonga majumba. Doroo.Kwa hiari? acheni kuturoga muone kama tutafanya hivyo. Mna dhambi kubwa sana nyie na hao sangoma wenu
 
Siwezi kutoa hela yangu halafu nipige show ya kitoto, nitahakikisha mtu anakimbia na chupi mkononi, au anaisahau kabisa. Nikiona dalili ya kuchemka natafuta hata vumbi la mkongoman nalipiga kwanza.
🤣🤣🤣Kupania gemu mwisho huwa mna kufa kipopoma sana acheni ku buti.
 
Nazipokea ila kabla ya yote namwambia twende pharmacy tukanunue ndomu..


Ila bana thamani yangu ni zaidi ya hiyo 2m.
Hakuna haja ya kondomu. mnapima afya kwanza kabla ya kulalana.
 
Wanawake wadhaifu Sana katika pesa,narudia Tena wadhaifu mnooo,Mimi Nina pesa na nalijua Hilo,nimeshakula Sana celebrities wa bongo,humu jf hakuna mwanamke wa kukataa hiyo hela
Hatariouss
 
Bora wewe umesema ukweli. Kuliko Hawa wanaojishebedua kuwa 2 milions Ni kidogo .

Tena kabla hajaingiza unahakikisha umemfanyia madoido kweli kweli akiweka na kupata ile joto faster anatapika. 2 milions ushatia mfukoni
Akitoka hapo ataitwa millionare.
 
Mwanaume anakujia na maneno mengiii, ooh nakupenda na blah blah zingine kibao ila mwisho wa siku unakopwa papuchi na stress juu.
Et unakopwa papuchi daaaa kumbe kuna wengne wanatoa kwa mkopo
 
Yaani kwa kweli huu uzi umenikumbusha kisa kimoja Kilinitokea zamani mno, nilikua chuo enzi hizo.
Nikitulia nitakisimulia hapa ila ni maMbo haya haya..Dah, nilishasahau
Tunakisubiri hapa hapa
 
Mwanamke gani anayejua kutafuta pesa JF hii..

Acha kutupiga kamba
We umewaezaje mwanamke achindwe tatizo labla umezoea kununua wanawake wanao uza mwili huko ina maana wewe mwanaume mwenzio akija na million 2 una kwichi sio.
 
Back
Top Bottom