Swali kwa dada zangu wa JF

Swali kwa dada zangu wa JF

Kwa akili yako una fikili kila mwanamke ukiweka pesa ana tamanii million 2 umeona pesa nyingi labla kwa wasio jua kutafuta pesa.
Million 2 sio pesa ya mchezo muraaaa
 
mkuu hivi umewatajia tsh 20000 au tsh 2000000?
sijaona wa kukataa tsh 2000000 kwa sasa si tu ndani ya jf hata nje ya jf tena watataka kuolewa kabisaaa kwa hiyo milioni 2....yani siku hizi kahaba tu unamshusha bei hadi 1200 we unajilia tu
 
kabisa kabisa!
MANA ukiangalia unazotoa, mpk uber inakuhusu!
sasa si bora upate MAFAO bila kikokotoo!
haina kanuni wala sheria hiyo za PPF sijui SRR wat sijui!
Hiyo ndio akili.
Unachukua kiinua mgongo chako kwa 100%.
 
mkuu hivi umewatajia tsh 20000 au tsh 2000000?
sijaona wa kukataa tsh 2000000 kwa sasa si tu ndani ya jf hata nje ya jf tena watataka kuolewa kabisaaa kwa hiyo milioni 2....yani siku hizi kahaba tu unamshusha bei hadi 1200 we unajilia tu
Millioni 2
 
Nitakataa, hakuna cha bure kiasi hicho aisee. Alafu million 2 ni pesa ndogo sana kujirisk namna hiyo.
Anayekuwa amempa cha bure mwenzie hapo ni nani?? Dadavua tafwazali
 
Back
Top Bottom