Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,739
- 76,374
....na amri ya mzinifu auliwe ni ya Mungu !
Ukiipinga utakutana na Aids, Wizi, kashfa, watoto wa mitaani, umalaya, rushwa, upendeleo uonevu !
Umenena mkuu😀😀😀
....na amri ya mzinifu auliwe ni ya Mungu !
Ukiipinga utakutana na Aids, Wizi, kashfa, watoto wa mitaani, umalaya, rushwa, upendeleo uonevu !
Mnyalu Junior hivyo unavyodhani kuwa mahakama ya kadhi inahukumu kuua sio kweli.Kwenye adhabu nyingine sina tatizo isipokua kwenye kutoa uhai wa mtu mwenye haki iyo ni Mungu pekee nasi mwanadamu nando maana mwanadamu anaweza kutibu magonjwa nakufanya vitu vingine nisikurudisha uhai wamtu alokufa hata uhai wasisimizi naviumbe wengine wote mwanadamu hawezi kuurudisha sijui kama umenielewa
Wewe ndio zimeruka. Ungeisoma aya wala usinge mwaga povu hapa.Ewe punguani, 100 - 25 bado inabaki 100?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
There is nothing constructive in the quote, in contrast, why did Allah sent Jibril to pray for Muhammad while knowing he is going to kill him?
Umehama kwenye mahakama ya kadhi,yaonyesha umebanwa sana,huna hoja tena.There is nothing constructive in the quote, in contrast, why did Allah sent Jibril to pray for Muhammad while knowing he is going to kill him?
Katika mgao kuna kutoa hakuna kujumlisha,na mara nyingi na ndivyo inavyotokea,urithi unapogaiwa,sio wote waliotajwa kugaiwa wanaweza kuwa hai au kutakukuwa na kikwazo kinachomzuia mtu kupata mirathi.Kwa mfano baba kafa,kuna mtoto wake alikufa kabla kufa yeye,huyu mtoto aliyekufa mapema kabla ya kufa mzazi wake,wanawe hawezi kupata mirathi,na zipo sababu tofauti tofauti za kukuosa mirathi,kwa mujibu wa sheria za mirathi za uislamu.Wewe ndio zimeruka. Ungeisoma aya wala usinge mwaga povu hapa.
25 + 25 + 16.666.. = 100
Very good!
Altenativelly,
100 - 25 - 25 = 16.66 ambayo ni sawa na 17
Excellent!
Samahani nilikosea kidogo16.666 ilikuwa ni 16.666x2 = 33.333 ambayo ni sawa na 2/3 kwenye 50.
Mnyalu Junior hivyo unavyodhani kuwa mahakama ya kadhi inahukumu kuua sio kweli.
Mfano mzuri ZWNZIBAR inayo mahakama ya kadhi. Lakini je ni lini umesikia mtu kahukumiwa kuuawa zaidi ya mirathi na mambo ya ndoa. Hili ni swali langu kwako, nitafutie jibu.
Hapa tunaongelea mahakama ya kadhi ya Tanzania ambayo haina haki ya kuhukumu makosa hayo.
Ukipitia hii nyuzi utaona kuwa mahakama ya kadhi Tanzania itakuwa limited kwa kesi zinazohusiana na Ndoa, Talaka, Mirathi, Wakfu.
Tubaki kwenye mahakama ya kadhi ya Tanzania na "huduma" zake.
Basic mathematics principle becomes a headache to you. You do not "add" when you distribute, you subtract. Now go back and do your homework.
hamia Zenj
Nadhani Faiza na Aly Kombo wamefafanua mengi vizuri sana.Dada faiza mi naomba kuuliza km mume alijiweka nyuma ktk utafutaji kila kitu anafanya mke mfano ktk ujenzi wa nyumba je mkiachana mume ana haki ktk nyumba hyo Wakati hakusaidia au awe amechangia asilimia 5/100
Mimi naona mantiki ya hoja yako lakini nataka kuelewa zaidi. Hebu tusaidie, kugawa say $100,000,000 kwa kutumia utaratibu wa kiislamu katika kugawa mirathi. Let's say baba muislamu amefariki na kuacha mke mmoja, watoto wa kiume wawili, watoto wa kike wawili, na wazazi wake wote wawili.When I have US$ 100 and I give you 1/3 of it I remain with what?
Kama baba muislam amefariki na ameacha mke, watoto wawili wa kiume, watoto wawili wa kike na wazazi wake wote wawili mgawanyo ni kama ifuatavyoMimi naona mantiki ya hoja yako lakini nataka kuelewa zaidi. Hebu tusaidie, kugawa say $100,000,000 kwa kutumia utaratibu wa kiislamu katika kugawa mirathi. Let's say baba muislamu amefariki na kuacha mke mmoja, watoto wa kiume wawili, watoto wa kike wawili, na wazazi wake wote wawili.
Kama baba muislam amefariki na ameacha mke, watoto wawili wa kiume, watoto wawili wa kike na wazazi wake wote wawili mgawanyo ni kama ifuatavyo
$100,000,000
Baba atapata 1/6 ambayo katika $100,000,000 ni $16,666,666.666
Kwenye $100,000,000 inamaana tayari zimebaki $83,333,333.334
Mama anapata 1/6 ambayo katika $83,333,333.334 ni $13,888,888.889
Kwenye $83,333,333.334 tayari zimebaki $69,444,444.445
Watoto wa kiume wanapata 2/6 ambapo katika $69,444,444.445 ni sawa na $46,298,298.296
Inamaana kwenye $69,444,444.445 zimebaki $23,148,148.149
Kwa maana hiyo baba atapata $16,666,666.666
Mama atapata $13,888,888.889
Watoto wa kiume @ $23,148,148.149
Na watoto wa kike @ $11,574,074.0745.
Nimeeleweka??
Ndipo nilipo
usitusumbue Tanganyika, na soon tutaanza xenophobia kuwarudisha visiwani
Wewe ndio kilaza,unayeshindwa kufahamu katika kugawa unatoa sio kujumlisha.mahesabu ya mgawanyo wa mali katika uislam yanaonesha ukilaza wa Mwamedi