Swali kuhusu Mahakama ya Kadhi tafadhali

Swali kuhusu Mahakama ya Kadhi tafadhali

1. KULLU NAFSI DHAAIKATUL MAUT................Kila nafsi itaonja umauti, Malaika wakasema Alhamdulillah sisi tumeepukana na umauti eti sababu wao si nafsi bali ni nuru, M/MUNGU akasema tena KULLUMAN ALAYHA FAAN.............Kila kilicho juu ya mgongo wa ardhi kitaondoka, Malaika wakasema tena Alhamdulillah sababu sisi hatuishi duniani sisi kwetu huku juu mbinguni, M/MUNGU akasema tena KULLUSHAINN HALIKUNI ILLAA WAJHAA...................Kila kitu kitaondoka na atabakia mwenyewe mola wenu pekee, Hapo Malaika wakasujudu na kusema umetakasika wewe ambae hufi milele
Hicho ndio kilichomuua Mtume Muhammad (S A.W) kwakua tayari nwenyewe muumba alishasena kila kitu kiumbe kitakufa.
2.Jibril hakuwahi kumuombea mtume asife kwani yeye alikuwa ni mpeleka Wahyi tu. Doma hiyo hapo juu utapata jibu.
3.Katika Uislamu ukumbusho ndio kila kitu na tunakumbushana sana kila siku ila sio juu ya kifo cha mtume pekee bali ni juu ya kifo kwa ujumla. Kwani mtume ni mbora kwa Allah na amekufa je sisi.
4.Kwenye Qur an hakuna tulichofichwa hata kimoja. Qur ani iko wazi na imeongelea kila kitu.
Sasa tatizo lipo kwako wewe ulieambiwa kuwa Yesu amekufa kwa ajili ya dhambi zako wakati hapo hapo ineandikwa kuwa "Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe" kaa chini tafakari.
TanzaniaLaw aka Ishmael ! pitia hapa
 
Last edited by a moderator:
Mbona tunaambiwa kunakupigwa hadi kufa hii imekaaje

Free Bread.JPG
akasigaji kanu huwezi kuweka hizo sheria kama jamii haijali masikini !
 
Last edited by a moderator:
Ewe punguani, 100 - 25 bado inabaki 100?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hapo hata utetee vipi utachemka tu, hapo hesabu za allah zilikwenda mrama! badala ya kukukuruka ni bora ungeonesha mgao ungekuwaje mathematically! Labda uniambie principles za hesabu za kiislam ni tofauti!
 
Kwahiyo jamii kamainajali masikini hizo sharia niruksa😕

....ndio maana yake, wizi na uzinifu utakuwa ni Tabia na si kwa shida !....Hiyo picha asiye na pesa kaambiwa abebe mkate buree !
Nchi ya Japan, Wastaaff wengi ndio wezi wa Supermarket (Shoplifter) kwa ajili ya pensen finyu haswa wale waliokuwa na kazi za kawaida kama makuli ! au madereva
 
Hapo hata utetee vipi utachemka tu, hapo hesabu za allah zilikwenda mrama! badala ya kukukuruka ni bora ungeonesha mgao ungekuwaje mathematically! Labda uniambie principles za hesabu za kiislam ni tofauti!

Ngoja nikueleweshe naamini utanielewa
Hesabu iko hv 1/4 kwa mke inamaana kama ni $100 1/4 mke atachukua 25
zimebaki 75
1/3 katika 75 ni 25 kwa mama
Zimebaki 50
2/3 katika 50 ni 33.333
Kama hamjaelewa naomba niwaelimishe. Wallahu aalam.
 
Hapo hata utetee vipi utachemka tu, hapo hesabu za allah zilikwenda mrama! badala ya kukukuruka ni bora ungeonesha mgao ungekuwaje mathematically! Labda uniambie principles za hesabu za kiislam ni tofauti!

Tehee...teheee..tihii ! Mgalatia bhana ! sasa ile hesabu ya utatu kwenu mbona ni rahisi kuelewa ! (1+1+1 = 1 ?)
 
....ndio maana yake, wizi na uzinifu utakuwa ni Tabia na si kwa shida !....Hiyo picha asiye na pesa kaambiwa abebe mkate buree !
Nchi ya Japan, Wastaaff wengi ndio wezi wa Supermarket (Shoplifter) kwa ajili ya pensen finyu haswa wale waliokuwa na kazi za kawaida kama makuli ! au madereva

Sasa huo upendo ukowapi hapo kama tutaamua kuwapiga mawe wezi nakuwauwa kisa tu jamii inawapa huduma? Tnavyo jua Mungu ni upendo sasa tusipopendana sisi kwa sisi tunao onana nivipi tutampenda Mungu tusie muona?
 
..............una amini kuwepo Jehanam kwa ajili ya wakosaji (walio mkosea Mungu) au wote siku ya mwisho tutakuwa sawa !?.....yaani Mungu atatupa upendo wema na wabaya ?
 
..............una amini kuwepo Jehanam kwa ajili ya wakosaji (walio mkosea Mungu) au wote siku ya mwisho tutakuwa sawa !?.....yaani Mungu atatupa upendo wema na wabaya ?

Jehanam ipo kwawale watakaoshindwa kufanya toba nakumludia Mungu hadi siku ya mwisho
 
Hapo hata utetee vipi utachemka tu, hapo hesabu za allah zilikwenda mrama! badala ya kukukuruka ni bora ungeonesha mgao ungekuwaje mathematically! Labda uniambie principles za hesabu za kiislam ni tofauti!
Kasome tena,elimu imekupita pembeni
 
Jehanam ipo kwawale watakaoshindwa kufanya toba nakumludia Mungu hadi siku ya mwisho

Je unaridhika kuona watoto wa mitaani wakiongezeka siku hadi siku kwasababu ya zinaa?
Na je ndugu yako ameiba uko tayari achomwe moto au apewe onyo??
 
Jehanam ipo kwawale watakaoshindwa kufanya toba nakumludia Mungu hadi siku ya mwisho

....kama wapo watu ambao watachomwa moto (Jehanam) na Mungu, vipi kwa mtu ambaye ni mwizi/kibaka mzoefu wa tabia kukatwa mkono (katika nchi inayo jali uadilifu- hakuna masakata ya Escrow wala nini !) ?
 
Kwanza kabisa ni vyema ukafahamu kuwa ndoa katika Uislam ni mkataba baina ya waliooana, kuwa wataishi pamoja wakifuata sharia na mila za Kiislam katika maisha yao na kama kuna mambo ya zaidi ya kukubaliana ambayo hayakiuki sharia za Kiislam basi yanaweza yakaainishwa katika huo mkataba, lakini mara nyingi (99.9%) huwa hakuna haja ya kuweka vipengele vingine zaidi kwani Uislam sharia zake zimekamilika.

Na mkataba huo unaweza kuvunjika (talaka) iwapo yeyote kati ya hao waliooana atakiuka sharia na mila za Kiislam na atakapoonywa au kukumbushwa na jozi wake (kuoana ni kuwa jozi "pair") hatozingatia na ataendelea kuyafanya kwa kusudi.

Katika Uislam talaka inaweza kutolewa kwa hizo sababu za kukiuka Uislam na nyinginezo ambazo zitamkosesha mmoja raha ya maisha au matarajio yake, bila kukiuka sharia na mila za Kiislam. Kama vile mke au mume kutokuzaa, mume au mke kuwa mlevi, mume au mke kuwa hamridhishi mwenza wake, mume au mke kuwa mgonjwa wa kudumu, mume au mke kuwa mbali na jozi yake kwa muda mrefu, mume au mke kujihusisha na mambo yanayokatazwa katika Uislam. Hizo ni baadhi tu ya sababu zinazoweza kupelekea kutalikiana.

Amma kumuacha mume tu hivi hivi kama ni kwa kumchoka tu basi kama ni mke itabidi alipe mahari aliyopewa wakati wa kuoana.

Kuachana Kiislam kuna namna zake na si nimekuacha tu basi yamekwisha, haifai hivyo. Kuna suluhu inabidi zipitikane kabla ya kuachana, kuna kusameheana, kuna wazee kuitwa na kupitisha suluhu, kuna eda, kuna kurudiana hata inapofikia mkaachana na baadae ikapita suluhu.

Ikibidi na hakuna budi, na ili kila mmoja awe katika amani, basi talaka haina budi lakini ni sharti iwe kitu cha mwisho kabisa. Kwani kuachana si kwema.

Hata kadhi kwanza huanza kutazama namna ya kusuluhisha ndoa kabla hajaamua kuwa hapa inabidi pawe na talaka.

Natumai hilo swali lako nimelijibu na Mwenyeezi Mungu ndiyo ajuae zaidi na mimi nimejitahidi kadri ya uwezo wangu na kama wachangiaji wengine watakuwa na mengine wanaweza kusherehesha zaidi.

Ntarudi kuendelea kukujibu maswali yako mengine.

Umejibu kwa busara na kwa dhana halisi ya mahakama ya kadhi lakini ukweli utabaki pale pale ya kwamba HAIWEZEKANI na HAITAWEZEKANA kuanzisha mahakama ya kadhi nchini, Tanzania kutokana na msingi wa katiba yake inayotamka wazi kwamba "Serikali haina Dini"

Umeyataja na inafahamika wazi kwamba mambo ambayo mahakama ya kadhi inashughulika nayo kuwa ni NDOA, TALAKA, MIRATHI NA WAKFU. Ukifatilia historia na misingi ya uislamu kwa kina kwa kutazama hayo mambo manne ni dhahiri ni ya KIONEVU na KIBAGUZI hususani kwa mwanamke kitu ambacho tayari kinakiuka HAKI ZA BINADAMU.

Subirini hadi waje viongozi MAJUHA ambao watapindua katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuruhusu Mahakama ya kadhi kutambuliwa kikatiba. Hapo mtakuwa na nguvu kisheria ya kuidai na kuipigania lakini SIYO SASA!
 
....kama wapo watu ambao watachomwa moto (Jehanam) na Mungu, vipi kwa mtu ambaye ni mwizi/kibaka mzoefu wa tabia kukatwa mkono (katika nchi inayo jali uadilifu- hakuna masakata ya Escrow wala nini !) ?

Kwenye adhabu nyingine sina tatizo isipokua kwenye kutoa uhai wa mtu mwenye haki iyo ni Mungu pekee nasi mwanadamu nando maana mwanadamu anaweza kutibu magonjwa nakufanya vitu vingine nisikurudisha uhai wamtu alokufa hata uhai wasisimizi naviumbe wengine wote mwanadamu hawezi kuurudisha sijui kama umenielewa
 
Ngoja nikueleweshe naamini utanielewa
Hesabu iko hv 1/4 kwa mke inamaana kama ni $100 1/4 mke atachukua 25
zimebaki 75
1/3 katika 75 ni 25 kwa mama
Zimebaki 50
2/3 katika 50 ni 16.666 ambayo ni sawa na 17.
Kama hamjaelewa naomba niwaelimishe. Wallahu aalam.

25 + 25 + 16.666.. = 100
Very good!

Altenativelly,
100 - 25 - 25 = 16.66 ambayo ni sawa na 17
Excellent!
 
Umejibu kwa busara na kwa dhana halisi ya mahakama ya kadhi lakini ukweli utabaki pale pale ya kwamba HAIWEZEKANI na HAITAWEZEKANA kuanzisha mahakama ya kadhi nchini, Tanzania kutokana na msingi wa katiba yake inayotamka wazi kwamba "Serikali haina Dini"

Umeyataja na inafahamika wazi kwamba mambo ambayo mahakama ya kadhi inashughulika nayo kuwa ni NDOA, TALAKA, MIRATHI NA WAKFU. Ukifatilia historia na misingi ya uislamu kwa kina kwa kutazama hayo mambo manne ni dhahiri ni ya KIONEVU na KIBAGUZI hususani kwa mwanamke kitu ambacho tayari kinakiuka HAKI ZA BINADAMU.

Subirini hadi waje viongozi MAJUHA ambao watapindua katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuruhusu Mahakama ya kadhi kutambuliwa kikatiba. Hapo mtakuwa na nguvu kisheria ya kuidai na kuipigania lakini SIYO SASA!
Mwanamke ana nafasi tpfauti katika kurithi katika uislam
1Mwanamke kama Mtoto
2.Mwanamke kama Mama
3.Mwanamke kama Dada(ndugu)
4.Mwanamke kama mjukuu
5.Mwanamke kama bibi
Wote hawa wanarithi kwa viwango tofauti
Upo mgao wa mirathi kwa mwanamke anamzidi mwanamme,kutegemea nafasi anayorithi
 
Ndugu yangu kikwajuni hawa watu hata uwaambie nini hawata kuamini sio kama hawatakuelewa hapana.
Kukuelewa watakuelewa lakini ni kawaida yao kuwa agaist na kila jambo la kiislam.
Ivi unadhani hawajui kama wanaabudu sanamu la mzungu? Wanajua lakini wanaabudu wakijiaminsha wanatukomowa sisi waislam.
Zamani walikuwa wanakunya hawachambi eti wakichamba watakuwa kama waislam.
Sasa unadhani vipi utafanikiwa kuwafahamisha na wao hawako ktk kujua wako ktk kutukomoa?
 
Kwenye adhabu nyingine sina tatizo isipokua kwenye kutoa uhai wa mtu mwenye haki iyo ni Mungu pekee nasi mwanadamu nando maana mwanadamu anaweza kutibu magonjwa nakufanya vitu vingine nisikurudisha uhai wamtu alokufa hata uhai wasisimizi naviumbe wengine wote mwanadamu hawezi kuurudisha sijui kama umenielewa

....na amri ya mzinifu auliwe ni ya Mungu !
Ukiipinga utakutana na Aids, Wizi, kashfa, watoto wa mitaani, umalaya, rushwa, upendeleo uonevu !
 
Back
Top Bottom