Swali kuhusu Mahakama ya Kadhi tafadhali

Swali kuhusu Mahakama ya Kadhi tafadhali

Kule Somalia tunaona Watu wanapigwa mawe kwa kukamatwa ugoni, msituletee janja ya nyani eti Mahakama ya Kadhi haihusiki na jinai! Hayo maneno matamu matamu eti "mirathi," "ndoa," "talaka" na "wakfu" ni mlango tu wa kuingilia, baada ya hapo tutaona akina "Boko Haramu" wa ki-Tanzania wakiendeleza ule wimbo wa zamani eti "Waislamu tunaonewa" ili kuendelea na Mission ya kuisilimisha nchi!

Mkuu heshima kwako nando wanchokitafuta alfu kwenye kujadili hapa wanakwepesha ukwe:what:
 
Kule Somalia tunaona Watu wanapigwa mawe kwa kukamatwa ugoni, msituletee janja ya nyani eti Mahakama ya Kadhi haihusiki na jinai! Hayo maneno matamu matamu eti "mirathi," "ndoa," "talaka" na "wakfu" ni mlango tu wa kuingilia, baada ya hapo tutaona akina "Boko Haramu" wa ki-Tanzania wakiendeleza ule wimbo wa zamani eti "Waislamu tunaonewa" ili kuendelea na Mission ya kuisilimisha nchi!

Hata Tanzania yapo hayo, jisomee:

"'''Mkazi wa Kijiji cha Ivela kata ya Bara Mkoani Mbeya Denis Nelson kuuwa kwa wivu wa kimapenzi baada ya kukutwa akifanya mapenzi na mke wa mtu ."

Chanzo: WIVU WA KIMAPENZI , MWANAUME AFUMANIWA NA KUUAWA, - MBEYA. - Kamanga na Matukio
 
Kule Somalia tunaona Watu wanapigwa mawe kwa kukamatwa ugoni, msituletee janja ya nyani eti Mahakama ya Kadhi haihusiki na jinai! Hayo maneno matamu matamu eti "mirathi," "ndoa," "talaka" na "wakfu" ni mlango tu wa kuingilia, baada ya hapo tutaona akina "Boko Haramu" wa ki-Tanzania wakiendeleza ule wimbo wa zamani eti "Waislamu tunaonewa" ili kuendelea na Mission ya kuisilimisha nchi!

Buchanan si ajabu mtu akija kwako akakuta picha ya 'Bwana' inaning'inia sebuleni!
Hivyo pamoja na shule yako you can't reasoning
 
Last edited by a moderator:
Basic mathematics principle becomes a headache to you. You do not "add" when you distribute, you subtract. Now go back and do your homework.
It seems you did not attend grade 1 through 4. It is simple fraction additions.


  • Man dies leaving behind:
    Wife1/4 = 3/12 (4:12)
    Mother 1/3 = 4/12 (4:11)
    Sisters 2/3 = 8/12 ((4:176)
    Total = 15/12 =1.25







 
understanding the law of Inheritance of the Qur'an
www.central-mosque.com/../inherit.htm
I got is correct already.


  • Contradictions in Inheritance laws of Allah

    Inheritance laws of Allah [verses: 4:11-12 and 4:176]


    Quran 4:11-12 and 4:176 state the Qur’anic inheritance law. When a man dies, and is leaving behind three daughters, his two parents and his wife, they will receive the respective shares of 2/3 for the 3 daughters together, 1/3 for the parents together [both according to verse 4:11] and 1/8 for the wife [4:12] which adds up to more than the available estate. A second example: A man leaves only his mother, his wife and two sisters, then they receive 1/3 [mother, 4:11], 1/4 [wife, 4:12] and 2/3 [the two sisters, 4:176], which again adds up to 15/12 of the available property.


    In these verses above one can see the total property after adding all distributed parties adds up more than the available property, i.e., totals become more than 1 which are: 1.125 and 1.25. How come? A gross mathematical errors, is not it?


    Let us examine Allah’s mathematical genius once more in different fashion:


    Man dies leaving behind
    Wife is1/8 = 3/24 (4:12)
    Daughters 2/3 = 16/24 (4:176)
    Father 1/6 = 4/24 (4:11)
    Mother1/6 = 4/24(4:11)
    Total = 27/24=1.125


    Woman dies leaving no descendants or ascendants
    Husband, (1/2) = 1/2 (4:12)
    Brother (everything) = 2/2(4:176)
    Total = 3/2 =1.5


    Woman dies leaving no ascendants or descendants and no brother
    Husband, (1/2) = 3/6 (4:12, 4:176)
    Sister (1/2) = 3/6 (4:11)
    Mother (1/3) = 2/6 (4:11)
    Total = 8/6 =1.33


    Man dies leaving behind:
    Wife1/4 = 3/12 (4:12)
    Mother 1/3 = 4/12 (4:11)
    Sisters 2/3 = 8/12 ((4:176)
    Total = 15/12 =1.25


    Adding all distributed properties add up more than the available property, i.e., total becomes more than 1 which are: 1.125, 1.5, 1.33, and 1.25 respectively. Surely, Allah’s mathematics was really divine!!!







 
It seems you did not attend grade 1 through 4. It is simple fraction additions.


  • Man dies leaving behind:
    Wife1/4 = 3/12 (4:12)
    Mother 1/3 = 4/12 (4:11)
    Sisters 2/3 = 8/12 ((4:176)
    Total = 15/12 =1.25








Why should you add on distribution?

Why dont you subtract and give us the answer?
 
I got is correct already.


  • Contradictions in Inheritance laws of Allah

    Inheritance laws of Allah [verses: 4:11-12 and 4:176]


    Quran 4:11-12 and 4:176 state the Qur'anic inheritance law. When a man dies, and is leaving behind three daughters, his two parents and his wife, they will receive the respective shares of 2/3 for the 3 daughters together, 1/3 for the parents together [both according to verse 4:11] and 1/8 for the wife [4:12] which adds up to more than the available estate. A second example: A man leaves only his mother, his wife and two sisters, then they receive 1/3 [mother, 4:11], 1/4 [wife, 4:12] and 2/3 [the two sisters, 4:176], which again adds up to 15/12 of the available property.


    In these verses above one can see the total property after adding all distributed parties adds up more than the available property, i.e., totals become more than 1 which are: 1.125 and 1.25. How come? A gross mathematical errors, is not it?


    Let us examine Allah's mathematical genius once more in different fashion:


    Man dies leaving behind
    Wife is1/8 = 3/24 (4:12)
    Daughters 2/3 = 16/24 (4:176)
    Father 1/6 = 4/24 (4:11)
    Mother1/6 = 4/24(4:11)
    Total = 27/24=1.125


    Woman dies leaving no descendants or ascendants
    Husband, (1/2) = 1/2 (4:12)
    Brother (everything) = 2/2(4:176)
    Total = 3/2 =1.5


    Woman dies leaving no ascendants or descendants and no brother
    Husband, (1/2) = 3/6 (4:12, 4:176)
    Sister (1/2) = 3/6 (4:11)
    Mother (1/3) = 2/6 (4:11)
    Total = 8/6 =1.33


    Man dies leaving behind:
    Wife1/4 = 3/12 (4:12)
    Mother 1/3 = 4/12 (4:11)
    Sisters 2/3 = 8/12 ((4:176)
    Total = 15/12 =1.25


    Adding all distributed properties add up more than the available property, i.e., total becomes more than 1 which are: 1.125, 1.5, 1.33, and 1.25 respectively. Surely, Allah's mathematics was really divine!!!








When I have US$ 100 and I give you 1/3 of it I remain with what?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
When I have US$ 100 and I give you 1/3 of it I remain with what?

Allah does this way: $100

1/4 of 100 to a wife = $25
1/3 of 100 to your Mother = $33.33
2/3 of 100 to your Sisters = $66.66

The total is $124.99 and not $100

MSIBA HUU NI WENU
 
Tuna washukuru ccm kwa kiwagawa watanzania kutokana na dini. Huwezi amini ilimradi wapate kura za waislam.
Ahsante kikwete fungu lako lipo mbele za haki.utajibu,na utatumikia maneno yako,matendo yako na kile ulichofanya au kuhadaa watu wa Mungu.
Uongozi sio lele mama.
 
1. KULLU NAFSI DHAAIKATUL MAUT................Kila nafsi itaonja umauti, Malaika wakasema Alhamdulillah sisi tumeepukana na umauti eti sababu wao si nafsi bali ni nuru, M/MUNGU akasema tena KULLUMAN ALAYHA FAAN.............Kila kilicho juu ya mgongo wa ardhi kitaondoka, Malaika wakasema tena Alhamdulillah sababu sisi hatuishi duniani sisi kwetu huku juu mbinguni, M/MUNGU akasema tena KULLUSHAINN HALIKUNI ILLAA WAJHAA...................Kila kitu kitaondoka na atabakia mwenyewe mola wenu pekee, Hapo Malaika wakasujudu na kusema umetakasika wewe ambae hufi milele
Hicho ndio kilichomuua Mtume Muhammad (S A.W) kwakua tayari nwenyewe muumba alishasena kila kitu kiumbe kitakufa.
2.Jibril hakuwahi kumuombea mtume asife kwani yeye alikuwa ni mpeleka Wahyi tu. Doma hiyo hapo juu utapata jibu.
3.Katika Uislamu ukumbusho ndio kila kitu na tunakumbushana sana kila siku ila sio juu ya kifo cha mtume pekee bali ni juu ya kifo kwa ujumla. Kwani mtume ni mbora kwa Allah na amekufa je sisi.
4.Kwenye Qur an hakuna tulichofichwa hata kimoja. Qur ani iko wazi na imeongelea kila kitu.
Sasa tatizo lipo kwako wewe ulieambiwa kuwa Yesu amekufa kwa ajili ya dhambi zako wakati hapo hapo ineandikwa kuwa "Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe" kaa chini tafakari.
 
Kwanza kabisa, nijuavyo sheria ya Tanzania umri wa kuoa kuolewa ya mwaka 1971 ni miaka 14 au 15. Hii sheria ya miaka 18 sijui imeanza lini, naomba unisaidie.

Pili, Uislam unasisitiza kutokuvunja sheria za dola mradi haziingilii Uhuru wa Muislam kuabudu na kumtoa katika Uislam wake.

Hebu kwanza tupate uhakika wa umri wa kuoana Tanzania kabla hatujalumbana zaidi katika hili, au unaonaje?

Sheria hiyo unayoisema ilishakufa (repealed and replaced by)...
Rejea sheria ya kuwalinda watoto ya JMT ya mwaka 2009
 
Allah does this way: $100

1/4 of 100 to a wife = $25
1/3 of 100 to your Mother = $33.33
2/3 of 100 to your Sisters = $66.66

The total is $124.99 and not $100


MSIBA HUU NI WENU

Ewe punguani, 100 - 25 bado inabaki 100?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Faiza Foxy, je mwanamke anaweza kuwa kadhi? pili nini maana ya neno WAKFU
 
wagalitia wanamatatizo sana hawataki mahakama ya kadhi eti mwizi akiiba atakatwa mkono, wakati sasaivi wakiibiwa wanamchoma moto
 
A father left 17 Camels as an Asset for his Three Sons.

When the Father passed away, his sons opened up the will.

The Will of the Father stated that the Eldest son should get Half of 17 Camels,

The Middle Son should be given 1/3rd of 17 Camels,

Youngest Son should be given 1/9th of the 17 Camels,

As it is not possible to divide 17 into half or 17 by 3 or 17 by 9, the sons started to fight.
Hayo ni matatizo yanayoamuliwa na kadhi
 
Mahakama ya kisekula itsema wauzwe wagawane pesa....na will ya baba haikusema hivyo.
Sasa watagawana vipi.....?nitakuja najibu muone umuhimu wa Kadhi.
 
Waislamu wa sasa walio wengi ni waoga sana, hawatoweza kufanya lolote hata wakipewa ruksa wakitumikie kitabu chao chote katika kuweka sharia kwenye mahakama ya kadhi. Hawa niwaoga sana wakitishiwa nyau tu wanaona wametishiwa simba.
 
Back
Top Bottom