Swali kuhusu Mahakama ya Kadhi tafadhali

Swali kuhusu Mahakama ya Kadhi tafadhali

Lakum diinukum waliyadiin ( Nyinyi mna dini yenu nami nina dini yangu) Fatilia ya dini yako tuachie yetu.
UKRISTO sio DINI.

Ndio maana huwa nasema ALLAH NI MUNGO. Wapi katika Biblia panaesma kuwa Ukristo ni DINI? Hivi mnamfuata huyo jamaa kwa lipi, maana kila kukicha yeye ni kusema uongo tu.
 
Hukitaka kujua kama itakuwepo au la soma KATIBA INAYOPENDEKEZWA Ibala ya 41 kifungu cha (3)
 
UKRISTO sio DINI.

Ndio maana huwa nasema ALLAH NI MUNGO. Wapi katika Biblia panaesma kuwa Ukristo ni DINI? Hivi mnamfuata huyo jamaa kwa lipi, maana kila kukicha yeye ni kusema uongo tu.

Kumbe huna dini?! Basi cwezi kuongea chochote ukanielewa.
 
Mahakama ya Kadhi kajengeni msikitini kwa hela zenu

..........mbona mnajenga Makanisa kwa hela ya Escrow !?......kisha ndani yake mnakita Masanamu !? :confused2: SHWARY
 
Last edited by a moderator:
Mtume na Nabii Hebron Wilson Kisamo amesema picha ya Yesu Kristo inayotumiwa na baadhi ya madhehebu ya Kikrito duniani siyo ya mwokozi huyo wa roho za watu.

Mtume na Nabii Hebron Wilson Kisamo mwenye kanisa lake maeneo ya Moshono, Arusha.

Nabii huyo ambaye ana kanisa lake maeneo ya Moshono, Arusha aliyasema hayo hivi karibuni kupitia kituo kimoja cha runinga nchini.

Alisema watu wengi katika ulimwengu huu hawaijui sura halisi ya Yesu Mnazareti bali wamemuona mwigizaji wa sinema za Yesu aitwaye Brian Decon makanisani, majumbani, kwenye biashara, kwenye misalaba na wamemfanya kuwa ndiye mwokozi wao.

“Watu hususan Wakristo wanaiabudu hiyo picha ya huyo mwigizaji anayeitwa Brian aliyeigiza kuwa Yesu. Ni vizuri alivyoigiza, hii imesaidia kufundisha watu kuhusu Yesu kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Injili ya Luka,” alisema Nabii Hebron.

Akaongeza: “Mimi katika maisha yangu pia ufahamu ulitekwa ukaona ile picha ya Brian ndiyo Yesu kutokana na jinsi nilivyofundishwa toka utoto wangu katika madhehebu ya Kikristo.

“Hata sasa inawezekana na wewe unayo picha ya Brian na unaiita picha ya Yesu , hili ni kosa,” alifafanua kuwa cha ajabu ni kuwa ukiingia katika baadhi ya makanisa utaona picha za Brian zimetundikwa ukutani na ndizo watu wanaziabudu.

“Hapa watu wamepotea na ni mbaya kuiabudu picha ya mwanadamu, natumaini hata yeye Brian hapendi aitwe Yesu, maana Yesu tunayemjua alikufa na kufufuka na sasa yupo mbinguni na hata kuzaliwa kwake ni kwa njia ya Roho Mtakatifu,” alisema nabii huyo.

Alifafanua kuwa, Yesu hakuwa mzee kama huyu muigizaji Brian aliyetumika kuifundisha jamii kwa njia ya sinema ili watu waelewe kirahisi na wapate mfano ilivyokuwa siku hizo. Alijigamba kuwa aliwahi kutokewa na Yesu akaongeza:

“Mara ya kwanza kumuona Yesu sura sikuiona hii ambayo ipo hapa ulimwenguni na inauzwa madukani. Yesu anang’aa, picha yake ipo kwenye macho yangu na haipo mahali popote katika ulimwengu huu, haifanani kabisa na mtu yeyote na ndiyo maana anaitwa mwana wa pekee wa Mungu.”

Alisema watu wengi badala ya kumuangalia Yesu katika roho sasa fahamu zao zimetekwa na shetani, wanaziona picha za muigizaji kuwa ndiye Yesu na madhara ya kukaa na hizo picha ukutani na kuzibusu ni kwenda kwenye mlango wa kuzimu na kuzisujudia utakuwa tayari umeabudu sanamu,” aliionya dunia.

SOURCE: GPL
Soma hapa upate maarifa
 
Kasome tena,elimu imekupita pembeni

Huna ujanja wa kufafanua hapo, utabaki ku-beat the bush around! mwenzako alibakari hapo juu amejaribu kukukuruka lakini kaishia njiani anaandika vitu visivyo na mantiki! Kwa kifupi nasema tena hapo hesabu za allah zimebuma!
 
Kasome tena,elimu imekupita pembeni

Huna hoja wewe, ngoma nzito! hapo umeamua kuamini kiupofu upofu! najua hata wewe huelewi ila umeamua kutetea imani kama tutusa bila kuhoji hapo hesabu zimeendaje! hujui na ndo maana huwezi kuelezea na kamwe hutoweza kwa sababu hesabu hizo ni manjegeka! Huo mgao wa kimagumashi endeleeni tu kuutekeleza labda asilimia inayobaki mseme anapata kadhi anayeamua kesi!
 
Huna hoja, hakuna kinachobaki, kila kilichopo Kinagaiwa, na ikiwa hakuna wa kugaiwa mwingine, anayegaiwa ni mmoja, mali yote inabaki ni yake.
Kinachowashinda kuelewa ni hiki
1.Mgao uliowekwa, ni kwa Kuwako hao wanaogaiwa, ikiwa wapo baadhi na wingine wameshafariki,wanagaiwa walio hai na wanaostahili kugaiwa.
 
Sura halisi ya UISLAMU haifichiki tena, hata mje na kejeli kiasi gani!

Bikira Maria.JPG

.......kejeli mnazo nyie wenyewe ! Buchanan
 
Last edited by a moderator:
Huna hoja wewe, ngoma nzito! hapo umeamua kuamini kiupofu upofu! najua hata wewe huelewi ila umeamua kutetea imani kama tutusa bila kuhoji hapo hesabu zimeendaje! hujui na ndo maana huwezi kuelezea na kamwe hutoweza kwa sababu hesabu hizo ni manjegeka! Huo mgao wa kimagumashi endeleeni tu kuutekeleza labda asilimia inayobaki mseme anapata kadhi anayeamua kesi!

kokotoa hesabu kwa mujibu wa qur'an tuone kama kuna kinachobaki au la!? Hii contradiction inajulikana all over the world na hata wanazuoni wenu wanalijua hilo ila wanatetea bila vigezo kama wewe!
shusha hesabu hapa ili ututoe ujinga!
 
Tatizo ni elimu ndogo, hesabu za mirathi kwa waliosomea mirathi ya kiislamu hawapi tabu.
Ni sawa kwa doctor kumpasua mgonjwa, kwa asiye doctor ataona, ana mzidisha maradhi, wakati ndio anapona
 
Tatizo ni elimu ndogo, hesabu za mirathi kwa waliosomea mirathi ya kiislamu hawapi tabu.
Ni sawa kwa doctor kumpasua mgonjwa, kwa asiye doctor ataona, ana mzidisha maradhi, wakati ndio anapona

mwenye elimu ndogo ni yule anaeshindwa kuthibitisha jambo analoamini ni kweli na badala yake anazururazurura kwenye hoja! Kinachotakiwa hapa ni kutuwekea jinsi hesabu za mgao zinavyokuwa ili tuamini au tupinge kutokana na jinsi utakavyofafanua! kama huwezi au hujui au unaona haiwezekani! ni bora ukae kimya au upotezee kama baadhi ya wenzako ambao wameona ngoma ni nzito!
 
Back
Top Bottom