Si kwamba atapigwa mawe hadi kufa😕
Vigezo vya mzinzi kupigwa mawe hadi kufa
1.muhusika awe na make/mume, au awe alishawahi kuolewa/kuoa.
2.mashahidi WANAOAMINIKA wanne au zaidi.wasipungue wanne.na wawe wamelishudia tendo lenyewe likifanyika.
Muhusika awe ni muislam.
Sheria Hii ni ngumu sana kutekelezeka,hasa kutokana na kigezo hicho cha pili.kwa kua wanaozini huzini kwa siri/hujifungia.ni ngumu kupata mashahidi wanne.
Hata wakati wa mtume,alihukumiwa mtu mmoja tu,naye kwa vigezo chungu mzed.
Alikua ni mwanamke,alizini kwa siri,akapata ujauzito.
Kwa ridhaa yake kwa kuna amefanya dhambi,akamfuata mtume na kumuomba aidhinishe sheria ipite juu yake.
Mtume akamwambia,subiri mpaka ujifungue kwanza.
Alipojofungua tu akaenda tena kwa mtume kutaka sheria ipite.mtume akamwambia,kamnyonyeshe mtoto miaka miwili.
Alipomnyonyesha mtoto miaka miwili akamfuata tena mtume.
Akitaka sheria ipite juu yake.
Ndipo mtume akaidhinisha sheria ipite.
4.muhusika mwenyewe kujisema kuwa kazi ni,na anaomba sheria ipitishwe.jambo ambalo halijawai tokea.
Vigezo vya 1,2 na 3 vyote vinatefemeana.kikikosekana hata kimoja,sheria haipiti.
Mzinzi ambaye hajaoa/ kuolewa vikipatikana vigezo hivyo hapo juu.
Sheria yake ni fimbo 100.
Na kama sheria ya uislam ingepewa nafasi ifanye kazi.
1.tusingeujua ukimwi..
2.Tusingekuwa na watoto wa nje ya ndoa.
3.tusingekuwa na watoto wa mitaani.
Na hata kama haya yangetokea si kwa kiasi hiki.