Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Huyo kaka aliyekufata Moro ukamkimbia nadhani wewe ndio.uliona huendani nae ukajishtukia na kutoka ndukiiiiii maana sababu uliyotoa haiingii akilini, "Mrefuuu halafu kijana mdogoo"
Lol, kidding.

Me niliwahi kukutana na Manzi katoka Arusha kanifata Dar, akafikia kwa dada yake kesho yake tunaenda kuonana, loooh kanipigia sketi ya kitenge na blauzi ya kitenge mshono wa popobawa lol, chini kanivalia sendoz sijui za yebo yebo maana ilikua ni shiidah, sitaki kusema umbo lake nitakua namkosea hadi Mungu.... that gal alikua na sexy voice kwa simu, nilivyokuja kumuona physicaly daah was so disappointed ila sikuweza kumkimbia maana niliheshimu safari ndefu ya Arusha to Dar, tukaenda kwenye mgahawa mzuri, tukala tukanywa, nikamrudisha kwao ndio ikawa mwisho wa kuonana kwetu tho aliumia sana.
Mara nyingine akija nishtue, grinding ain't fair
 
Miaka ya 2007-2010 nikiwa naishi Arusha, na kitambo hicho mig33 ikiwa juu sana, RFK yng aliopoa mrembo wa kutoka Tanga.

Lile basi la Tanga liliingia Arusha mida Saa 2 usiku. Mshkaji akaniomba nimsindikize kumpokea "Mgeni" wake. Alinisistiza nimsindikize kwanza kwa sababu za kiusalama na pili alinambia ndio Mara ya kwanza wanakutana, so km hatakidhi viwango, ajue jinsi ya kuchoropoka!

MSHKAJI akasema tukikaribia stand, tutembee Mbali Mbali mm na Yeye. Na niwe namuangalia (yeye mshkaji) muda ote, akipokea simu na mm nijifanye napokea simu, akiongea na Mimi nijifanya naongea, lengo ni kumpoteza maboya!

Wakati tunakaribia stand, eneo ambalo bint alisema amekaa, mshkaji akamuona na hapo HAPO akasema NIMEINGIA CHAKA!

Maskini tulimpita yule Dada km sio sisi, daah zilikuwa akili za Chuo Chuo zile!
Hua naona ni roho ya ukatili sana kumkimbia mtu aliye drive miles just to see you....
Hata kama hajakidhi vigezo ni vema msilale wote lakini mpokee na usioneshe tofauti yeyote.

Halafu me sijua hua nikoje yaani hua siwezi kujificha eti nimuone mtu kwanza sijui nini, naenda mzima mzima coz najiamini na pia hata kama nikimkuta yupoje still siwezi kumuacha pale, tutaongea na kufurahi na kuagana kwa amani.

Kitu siwezi kustand ni kumeet na mtu asiyejua kuongea, aibu nyingi, mara kashika simu anachat chat, kila kitu "nakusikiliza wewe tu" damn! hata awe kifaa vipi bado nitamuacha tu.
 
Wasalaaam!

Hapa nazungumzia zaid kwenye suala la kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume.

Katika harakat za maisha mm kama Demiss uwiiiii nimeshawakimbia sana wanaume baada ya kukutana na vituko .

1.Huyu alikuwa mwanaume aliyekosea namba tukawa tunawasiliana zaid ya mwaka mmoja bila kuonana maana yeye alisema hana account facebook wala hayupo whatsap.
Basi alishiaa kuniambia tu sifa zake jinsi alivyo kwenye simu kuwa mweusi mrefu wastani na nguo anazopendelea kuvaaa akimaniisha hapo tayar nitahisi anafanana vipi .Aiseeh nilimwambia unafanana na Joh Makini akasema ndiyo .

Na mm bila kukaaa nyuma nikamweleza sifa zangu yani muonekano wangu jinsi nilivyo kama Black chocolate ,mrefu alafu mwili wa wastani nina chura chokozi na ninapenda kusukaaa macho ya mviringo kama gololi.
Hapo mwanaume akavuta picha nafanana kama Alicia keys.

Balaa sasa siku ya kuonana nakumbuka nilikuwa nimeenda Jitegee sekondary kuchukua uhamisho wa Mdogo wangu basi kwa sababu yule mkaka alisema anafanya kazi Mitaa ya Uhasibu nikasema leo ndo siku ya kuonana maana kipindi tunawasiliana mm nilikuwa mkoan Morogoro hivyo nilikuja Dar kwa masuala ya uhamisho wa mdogo wangu.

Basi baada ya kumaliza issue zangu nikaenda kukaaa pale kituo cha uhasibu kwa ajili ya kusubiri gari za Mbagala huku nawasiliana na yule mkaka aje tuonane .

Uwiiiii nilikuwa nimekaa kwa machale najua mnaelewa mchezo wa kuviziana na mtu usiyemjuaaa inavyokuwaaa ni balaaaaa akipig simu unachelewaa kupokeaaa unaangalia nan anayekupigia

Uwiii ghafla vuuup namuona mkaka anakuja amevaa likaptulaaa kubwaaa halimtoshi alafu kachomekea na Tshirt jaman chini kavaaa mabuti ni anatishaa jaman uwiiiii(Mnisamehe Demiss napenda mahanshaamy mnanijua lakini)

Mkaka alikuwa anatisha uuuuuuh nisingeweza kumvumilia kwa kweli nilitoka nduki nikaingia kwenye DCM zile zilizokuwa zinaenda Mbagala Rangi 3 na Mbagala kuuu.

Kituko sasa badala ya kupanda Gari za Kwenda Mbagala Rangi 3 nikajikuta nimefika Mbagala kuu hapo simu nimeizima kabisaa
Nilivyofungua sm nilikutana tu na sms za kwann nimemkimbia mm wala sikujibu nikapotezea.

2.Sharobaro mwembamba
Katika maisha hakuna kitu sikipendi kama wanaume wembamba alafu warefuu .
Huyu mkaka sharo nakumbuka sjui alikosea namba na yeye alikuwa anakaa Kimara suka huko tukawa tunawasiliana .

Baadae akawa amenitumia nauli nitoke Moro niende Dar nikasema niende kuonana na mtu simjui wala siwezi nikikutana anafanana kama kibwengo nitafanyaje sitak aiseeee ikabidi ile nauli iishie kwenye mitumba ya Sabasaba sokoni watu wa Moro mnaelewaa shughuli ya Sabasaba.

Basi yule mkaka akaona isiwe tabu ngoja aje mwenyewe mpaka Morogoro aje tuonane.
Siku hiyo nikaenda kukaaa pale Vijana social hall ipo maeneo ya sabasaba ila nilikaa pembeni yake nikawa nampa Direction huyo mkaka aje mpaka Geti la vijana social.

Jaman alivyofika ni mwembamba mrefuu alafu kavulana kadogo kiukweli mm nisingeweza nilivyojiridhisha ni yeye nikazima simu alafu nikapita pale pale alipokuwa amesimama nikaenda zangu kuchukua bodaboda nikasepa zangu Home.(Uwiiii kaka unisamehe nisingeweza)

Ila jaman haya yalikuwa maisha ya kupita tu na ilikuwa ni lazima itokeee hivyo msinilaumu sana.

Bila kusahau kuna member moja wa hapa Jamiiforum nilishawahi kumkimbiaaa jamn sikutegemea kama ningemkuta hivyo nilitoka ndukiiiinusu nivunje milonjoo kwa sababu alinitumia picha siyo zake siku namuona weeeee nilikimbiaaa Mwendo kama Chopa za Urusi.

Mrs Jr chamdeko.

Part 2

3.Mkaka wa Huduma kwa wateja wa mtandao wa simu jina kapuni(Atl)

Nakumbuka ilikuwa ni midaa ya saa 3 usiku baada ya laini yangu ya simu kuzinguaaa nikaamua kutumia simu ya Rafiki yangu kupiga huduma kwa wateja.

Kiukweli sijisifiii Demiss nina saut nzur sana hata shemeji yenu anajua vile nikidekaaa.

Basi nikawa nimeongea shidaa yanguu kwa muhudumu yule wa kiume akanisaidia laini ikafunguliwa.

Ile mida ya saa sita usiku nikaona simu yangu inaitaaa nikapokea .

Yule mkaka akajitambulisha na kusema jinsi saut yangu ilivyomshawishi mpaka akaamua kuchukua namba yangu.

Baada ya hapo tukahamia whatsap kiukweli mkaka ni Smart handsome kama Ben paul.

Siku ya kukimbiana ikawadia!!!!!

Huyo mkaka alikuwa anakaa Ubungo sikumbuk vizur ni ubungo ipi lakin ina vichochoro siyo vya nchii hii yan nyumba zake zina ngazii mpka ufikie mlango walllah kama una pressure unaweza zimiaaa kabla hujafikia mlango wa geto.

Mtoto wa kike nikachukua Daladala kutoka Tegeta kwa ndevu mpaka Ubungo enzi hizo kuna kituo cha daladala pale kama Tanesco kabla ya kubomolewaaa.

Kiukweli mkaka alikuja kunipokea kimbembe kikaanza sasa tukapanda pikpik mpaka sehemu tukashuka tukaanza kuchanja milonjo kupandisha ngazi uwiiiiiiiih nilikomaaa .

Mwishoe tukafikia geto lakee akafungua mlangoo tukaingia chumba chake ni "Shaghalabagalaaa "
Kitanda katikati kimebonyeaaa na ndani kuna kitanda tu na manguo manguoo ameyaweka kwenye Boksi kubwaa sijui ni la kuwekea Laini za.simu kazini kwaooo.

Baada ya kubadilishana mawazo handsome akaanza kuleta mapozi ya kugegedana si unajua tena wanaumee hawacheleweshi.

Kiukweli hali ya hewa ya ile chumba ilinifanyaa nipoteze kabisa Hamu hata ya kugegedana nikafikiria mkaka Handsome smart anakaaa kwenye chumba cha shaghalabagalaaaa mweeeeeeh siwezi kwa kweli

Baada ya kubebishana anakaribia kunigegeda nikamdanganya nimebanwaa mkojoo .

Nashukuru choo kilikuwa mtaa wa pili jaman akaniambia nendaa hapo ameshavua nguo amebaki na boksa tu mkuyengee ulikuwa tayar kwa Show kabambeeee!!!!!

Basi hapo ndo nilipopata nafasi ya kuanzaa mbio za Marathon mwenzenuuu
Nikashika simu yangu nikatokaaaa nayo nikarudisha mlangooo nikaanza kunyataaa polepoee kushuka zile ngaziii jamn ngazi ni nyingii utazan gorofaa kumbe wanakwepa mafurikooo.

Nilivyofika kwenye kauchochorooo nilitoka ndukiiii mpaka nikaenda kuparamia mlango wa watu kumbe nimesahau njiaaaa

Ikabid waniulize wewe dada vipi?

Huku natetemeka nikawambiaaa nilitaka kukabwaa ikabid wanielekeze njia nikachukua boda mpaka mwenge nikaenda kudandia gari za Tegeta na simu nikazima.

Kesho yake naamka kuangalia sm nakutana laini inasoma.

"NO SERVICE"
Nikasemaaa hahahha handsome kafanya kazi

Huko nyumaaa sipati picha nilivyotukanwaaa Demiss miyeeeee.

Itaendeleaa keshoo.........vituko ni vingi.
Safi sana,yote tisa nasubiri ile ya Mabibo ulivyoachwa solemba na MSHANA JR ulipokuja akiwa na demu mwingine akakuzimia simu huku umesimama nje ya gari yake huku tunakuangalia tukiwa bar
 
dah aisee
 
Demiss umenichekesha hadi nmelia, eti kavaa likaptura likubwa kachomekea na litisheti, huishagi vituko jamani, mm huwa siwakimbii kabisaaa ntamuona nitasalimiana nae halaf namwambia bahati mbaya nmepata dharura sitaweza kukaa sana , nkitoka hapo nablock kila kitu ,sema labda wao ndo wananikimbiaga hahahahahah
wanakukimbiaje mtoto unaonekana mzuri kabisa wewe.......ndio ugonjwa wangu huu
 
Safi sana,yote tisa nasubiri ile ya Mabibo ulivyoachwa solemba na MSHANA JR ulipokuja akiwa na demu mwingine akakuzimia simu huku umesimama nje ya gari yake huku tunakuangalia tukiwa bar
Ila wewe shemeji una mambo kwann unapenda kuniumiza moyo wangu jaman
 
Huyo kaka aliyekufata Moro ukamkimbia nadhani wewe ndio.uliona huendani nae ukajishtukia na kutoka ndukiiiiii maana sababu uliyotoa haiingii akilini, "Mrefuuu halafu kijana mdogoo"
Lol, kidding.

Me niliwahi kukutana na Manzi katoka Arusha kanifata Dar, akafikia kwa dada yake kesho yake tunaenda kuonana, loooh kanipigia sketi ya kitenge na blauzi ya kitenge mshono wa popobawa lol, chini kanivalia sendoz sijui za yebo yebo maana ilikua ni shiidah, sitaki kusema umbo lake nitakua namkosea hadi Mungu.... that gal alikua na sexy voice kwa simu, nilivyokuja kumuona physicaly daah was so disappointed ila sikuweza kumkimbia maana niliheshimu safari ndefu ya Arusha to Dar, tukaenda kwenye mgahawa mzuri, tukala tukanywa, nikamrudisha kwao ndio ikawa mwisho wa kuonana kwetu tho aliumia sana.
Wewe ni jinsia gani? Samahani lakin
 
Back
Top Bottom