franckkimm
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 440
- 852
Wakuu,
Kama topic inavyojieleza...binafsi Mimi ilishawahi nitokea nilikuwa na mahusiano na Manzi mmoja na tulipendana sanaa sikuwahi jua Kama naweza kumfumania coz kipindi icho nilikuwa bado mgeni mgeni kwenye inshu za Mapenzi.
Siku moja namuacha geto nikimuaga narudi mchana coz naenda kufanya paper enzi hizo chuoni.
Kufupisha story paper liliarishwa baada ya kuzungushana Kama 2hours ikabidi nirudi zangu TU magetoni kwa mpenzi wangu
Aisee kufika tu nakuta demu anapelekewa moto alafu Ni mshkaji tunasoma chuo kimoja....kiukweli niliumia coz sikutegemea Hilo tukio.Ukizingatia kipindi icho nilikuwa sielewi kumbe kuchapiana kwa Wana Ni kitu Cha kawaida.
Nilicho fanya Sasa!!!.....Niliamua kuondoka mazingira Yale Wala sikusema chochote.
nikaenda kwa mshikaji wangu nikatulia Kama siku mbili....yule demu alinitafuta Sanaa na meseji zisizo kauka .Nakumbuka TU nilicho muambia akimaliza mambo yake aache ufunguo sehemu.
Baada ya Kama week moja nilitafuta getto lingine nikahama pale na mahusiano na yule manzi yaliishia pale.
Kuanzia hapo na Mimi nikaachaga Mapenzi ya Romeo na Juliet Rasmi....kuanzia hapo mindset yangu ilikuwa kunyandua kwa sanaa
Alafu mpaka naandika hapa nimekuwa mraibu wa kula married women kwa sanaaa.....nitakula uko weeee ila kwa Hawa married aisee mzuka wangu unakuwa sio wa nchii hii
Mpaka nahisi hili tukio limeniathiri kisaikolojia au???? Ndio maana nipo hapa kupata experience labda nitajifunza kitu
VP ulishawahi kufumania??? na ulichukua hatua gani????
NAWASILISHA!!!!