Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Nilikutana na demu mkali, lakini khuma yake kama bibi wa miaka 70, amenyoa hovyo mapele kibao, nyege zilikata ghafla, nilikua na simu mbili, nikajibip , nikajifanya napokea , nikamwambia sina muda wa kukaa pale tena kuna taarifa za kifo, nikamucha na mipele yake hapo na sikumtafuta tena
Alitumia kinyolewa chenye kutu, sasa nayeye asisubili mapele yaishe alikuwa na haraka gani,
sasa unatoaje nguo mapema tena siku ya kwanza kukutana watu wana roho ngumu
 
Huyo kaka aliyekufata Moro ukamkimbia nadhani wewe ndio.uliona huendani nae ukajishtukia na kutoka ndukiiiiii maana sababu uliyotoa haiingii akilini, "Mrefuuu halafu kijana mdogoo"
Lol, kidding.

Me niliwahi kukutana na Manzi katoka Arusha kanifata Dar, akafikia kwa dada yake kesho yake tunaenda kuonana, loooh kanipigia sketi ya kitenge na blauzi ya kitenge mshono wa popobawa lol, chini kanivalia sendoz sijui za yebo yebo maana ilikua ni shiidah, sitaki kusema umbo lake nitakua namkosea hadi Mungu.... that gal alikua na sexy voice kwa simu, nilivyokuja kumuona physicaly daah was so disappointed ila sikuweza kumkimbia maana niliheshimu safari ndefu ya Arusha to Dar, tukaenda kwenye mgahawa mzuri, tukala tukanywa, nikamrudisha kwao ndio ikawa mwisho wa kuonana kwetu tho aliumia sana.
 
Miaka ya 2007-2010 nikiwa naishi Arusha, na kitambo hicho mig33 ikiwa juu sana, RFK yng aliopoa mrembo wa kutoka Tanga.

Lile basi la Tanga liliingia Arusha mida Saa 2 usiku. Mshkaji akaniomba nimsindikize kumpokea "Mgeni" wake. Alinisistiza nimsindikize kwanza kwa sababu za kiusalama na pili alinambia ndio Mara ya kwanza wanakutana, so km hatakidhi viwango, ajue jinsi ya kuchoropoka!

MSHKAJI akasema tukikaribia stand, tutembee Mbali Mbali mm na Yeye. Na niwe namuangalia (yeye mshkaji) muda ote, akipokea simu na mm nijifanye napokea simu, akiongea na Mimi nijifanya naongea, lengo ni kumpoteza maboya!

Wakati tunakaribia stand, eneo ambalo bint alisema amekaa, mshkaji akamuona na hapo HAPO akasema NIMEINGIA CHAKA!

Maskini tulimpita yule Dada km sio sisi, daah zilikuwa akili za Chuo Chuo zile!
 
Back
Top Bottom