kuna watu wanatukanana kilugha humu nacheka tuu vitu walivyoandika!as long as wengi wetu hatuelewi walichoandika hata sioni umuhimu wa wao kupigwa ban!endeleeni kutukana kilugha vijana
hata WEWE MDHUTI WAKO UGERWA VICHAA...
kuna watu wanatukanana kilugha humu nacheka tuu vitu walivyoandika!as long as wengi wetu hatuelewi walichoandika hata sioni umuhimu wa wao kupigwa ban!endeleeni kutukana kilugha vijana
we mama vipi umetoroka mirembe?ulichoandika hapo juu same to you times two!hata WEWE MDHUTI WAKO UGERWA VICHAA...
Hata mi hua nashangaa kwa nini wanawake wengi hawanipendii cha ajabu hata pesa sina sijui ningekua nazo wangekufa kwa chuki !!!!ila sio wote hatupendan baadhii tu ila wengi wetu tuna chukii na wivu hata awe rafiki wa karibu usimuaminii!!
Labda tuanze utafiti tuweze jua tatizo liko wapi, je level ya elimu ya hao wanawake ni ipi? Kwa hapa ofisini kwetu shida tunazisikia kwa watu wa level ya chini. Kwa walioenda shule sana tunawaona wako busy sana na mambo yao. Yaani hawana hata muda wa kujua fulani kavaa nini anaendesha gari gani wao wanafikiria kuandika miproposal na kupata pesa. Wanaume hata kama wanaoneana wivu huwa hawaonyeshani kama wanawake wanavyofanya labda kwa kuwa wanaume wamelelewa wakijiamini

Binti Sayuni, kiukweli kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, katika suala zima la upendo, mimi sio tuu napenda kwa dhati, bali nina upendo wa mshumaa!, naweza kumulikia wengine huku kwangu kunateketea!.
Kiukweli sisi watu wa kadha fulani, Mungu katujalia sana, hatunaga roho mbaya!. Nakumbuka nilipoanza kazi kwa mara ya kwanza, enzi hizo tunalipwa fedha dirishani, kukatokea kabinti kamoja "cheupe" moyo wangun ukakandondokea!, siku ya mshahara kakaja kakakuta foleni ndefu kakaomba kuingia mbele yangu!, si unajua tena watu wengine wamejaaliwa maombo yenye shukrani!, fole za enzi hizo watu ni kwa kubanana ile mbaya!, kiukweli ilikuwa taabu!. Alipomaliza tuu kuchukua nikamwambia nisubiri!, amini usiamini, baada ya kuuchukua mshahara wangu mzima hivyo hivyo ulivyo na bahasha yake hadi zile coins, nilimkabidhi hivyo hivyo ulivyo!.
Wengine tuoneni hivi hivi na umasikini wetu!, wengine umasikini ni wa kujitakia shauri ya upendo wa mshumaa, unamulikia wengine huku wewe ukiteketea!.
Pasco
Hata mi hua nashangaa kwa nini wanawake wengi hawanipendii cha ajabu hata pesa sina sijui ningekua nazo wangekufa kwa chuki !!!!ila sio wote hatupendan baadhii tu ila wengi wetu tuna chukii na wivu hata awe rafiki wa karibu usimuaminii!!
Kuoneana wivu ni jambo la kawaida kwa binadamu wote wakike na kiume. Tatzo letu sisi wanawake ni chuki na kutopendana alafu bila sababu, na elimu si sababu ni tabia yetu tu sababu ukija kweny mambo ya ndoa always kesi ni za mawifi na mama wakwe na si baba mkwe na mashemeji
Siku ya Wanawake Duniani, Wanawake pendaneni.Wanabodi,
Naomba kuuliza, hivi kwa nini wanawake huwa hampendani?!, Inawezekana kuwa ni kweli, adui wa mwanamke ni mwenyewe?!.
Naomba niwape mfano mdogo tuu toka humu humu jf,
Siku kadhaa nyuma niliwahi kupandisha humu jf thread kuhusu, [h=3]CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na Maua!.[/h]
Kwenye thread hiyo nikaweke picha za wafanyakazi wa benki hiyo, na kiukweli, kwa maoni yangu mimi binafsi ni kuhusu wafanyakazi wao wa kike ni "mashallah!".
Leo katika kuitembelea tuu ile thread, nikakutana na comment hii
Du !, ama kweli!, kwa nini lakini wanawake hampendani?!, yaani wewe ... unawaoneaje wivu wadada wa watu hata huwajui?!. Wadada hao wako natural wamependeza, unawasingizia mkorogo?!, that's not fair!. Au kwa vile wanafanya kazi nzuri, ofisi nzuri, wanalipwa pesa nzuri, mazingira mazuri ya kazi ni full kipupwe, saa zote wako ndani, hivyo hawaungui na jua!, hii inapelekea wengi wao kung'aa unadhani ni mkorogo?!. No way!.
Hebu na wewe, hebu tembelea hapa [h=3]CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na Maua!.[/h]uniambie kwa ukweli wako kabisa, jee kweli kuna mikorogo hapo?!
Wadada pendaneni!.
Pasco
Kuna mmoja leo alikua anazungumzia 50/50 kwenye masuala ya uongozi, sio kila idara top boss ni mwanaume, alivyomaliza porojo zake nikakaa nae tukawa tunapiga story, katika maongezi nikamchomekea kaswali ka kizushiSiku ya Wanawake Duniani, Wanawake pendaneni.
P
Leo siku ya wanawake duniani, wanawake pendaneni.Wanabodi,
Naomba kuuliza, hivi kwa nini wanawake huwa hampendani?!, Inawezekana kuwa ni kweli, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe?!.
Wadada pendaneni!.
Pasco
Hari ya kuchukiana, sio kwa wanawake tu, ni Hari Fulani, state of mind ya watu, binadamu wanapokuwa wanagombania fulsa Fulani, kuchukiana, wa bongo wakiwa ulaya, hawapendani, waliotsngulia hawataki kuonyesha njia kwa, wenzao,Wanawake wote wana roho mbaya tu,nami niliweka uzi katika jukwaa la mmu,kwa nini wanawake mna roho mbaya? Walikuja juu,kinoma,lakini ndio ukweli,hata wakikataa.
Leo siku ya wanawake duniani, nawapa hongera wanawake wote duniani kwa kuzaliwa wanawake, maana hakuna maisha kwa maana ya life bila mwanamke, ila life bila mwanaume, inawezekana, but there is no life without a female!. Big up sana kwa wanawake wote !.Wanabodi,
Naomba kuuliza, hivi kwa nini wanawake huwa hampendani?!, Inawezekana kuwa ni kweli, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe?!.
Wadada pendaneni!.
Pasco