Wanabodi,
Naomba kuuliza, hivi kwa nini wanawake huwa hampendani?!, Inawezekana kuwa ni kweli, adui wa mwanamke ni mwenyewe?!.
Naomba niwape mfano mdogo tuu toka humu humu jf,
Siku kadhaa nyuma niliwahi kupandisha humu jf thread kuhusu, CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na Maua!.
Kwenye thread hiyo nikaweke picha za wafanyakazi wa benki hiyo, na kiukweli, kwa maoni yangu mimi binafsi ni kuhusu wafanyakazi wao wa kike ni "mashallah!".
Leo katika kuitembelea tuu ile thread, nikakutana na comment hii
Du !, ama kweli!, kwa nini lakini wanawake hampendani?!, yaani wewe ... unawaoneaje wivu wadada wa watu hata huwajui?!. Wadada hao wako natural wamependeza, unawasingizia mkorogo?!, that's not fair!. Au kwa vile wanafanya kazi nzuri, ofisi nzuri, wanalipwa pesa nzuri, mazingira mazuri ya kazi ni full kipupwe, saa zote wako ndani, hivyo hawaungui na jua!, hii inapelekea wengi wao kung'aa unadhani ni mkorogo?!. No way!.
Hebu na wewe, hebu tembelea hapa CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na Maua!.
uniambie kwa ukweli wako kabisa, jee kweli kuna mikorogo hapo?!
Wadada pendaneni!.
Pasco
Mimi ni mwanamke lakini nakusapoti asilimia 100, japo huwa hatuukubali ukweli lakini sisi hatupendani hata kidogo
Na ukitaka utawale watu hakikisha unawadivide, unawaaminisha kuwa hawapendani! Na wenyewe wanajua ni kweli. Na hii ndio silaha wanaume wameweza kuitumia
nimekuelewa sasa......Hahahahahahaaaa! Kabanga haujaelewa!
Nimekusudia research ya kuproof kama kweli ke hawapendani!
Women, what does it take to accept that there are women prettier than you?
Unakuta wanawake wanakuonyesha attitude, hamjuani, ankuanza dole la mguuni anakupandisha mpaka juu.
I am a woman but kwa kweli this makes me sick!
Aaa Majango hawana izo bhana! Kwani kupotezea hujui weye?
sa kinachokufanya utukane ni nn?? Kisa ww una wivu wakike ndio unataka hata jamaa awe kama ww! Kwan ulitaka aongee unafiki?? Penye ukweli lazma aongee ukweli. Acha kuwa na moyo wa kinafiki
Mie nimem zoom we nikakosa cha kumwambia. Kuna viroba vipya vinaitwa Burudani. Acha tu. Ni janga la kitaifa.
Ulivyo taja burudani nimepata msisimko wa kiu.
sizani kama wanaume wanahusika hapa, ni sisi wenyewe, na cha kushangaza zaidi unakuta mtu hakujui humjui lakini hizo attitude atakazokuonysha utajiuliza siku nzima, sijui kama wewe ni msomaji wa mablog haya yaliyojazana sikuhizi lakini mimi ni msomaji mzuri sasa huko ndiko kuna mifano hai, jamani wanawake ni kusemana kuuuuutwa, yani mtu analeta habari ambayo hana hata uhakika nayo na wengine nao wanachangia mpaka unajiulza hivi tukoje, huko instagram ndo mama mama mama mama, wanawake wamefungua account za kunanga wanawke wenzio bila kisa wala sababu