Swali: Hivi Kwanini Wanawake Huwa Hampendani?!

Swali: Hivi Kwanini Wanawake Huwa Hampendani?!

hii ni kweli kabisa,some women wana roho ya kwanini au ni wivu sijui..ishanikuta humu JF mtu hanijui lakini anani-diss ,hadi nilipigwa ban kisa kumchambua....tubadilike girls,
ila pia wengine full peace hawana shida at all
 
wako sahihi kutopendana wanawake kwa wanawake,wanatakiwa kupendana wanawake na wanaume ,na hata wanaume wanatakiwa kupendana na wanawake ,mie nawapongeza sana kwa hilo,wangependana wanwake kwa wanawake wangeonekana wabaguzi.acheni masuala ya kameruni hapa "Facts are stupid things." I never failed to convince an audience that the best thing they could do was to go away. - President Ronald Reagan.
 
Aiseee......Ningekukubalia moja kwa moja kabla sijaingia JF....ila kwa muda mfupi niliokaa kule SIASANI.....lemme say this,VICE VERSA IS TRUE.........Nowadays.
 
Watu wanatumia Ids fake humu na wapo nyuma ya keyboards .Mna uhakika gani mi wanawake ndo wame comment!?? Hizi ni hoja nyepesi sana ukizingatia majibu ya.member wengi humu ni ya ajabu ajabu wala hayana chembe ya upendo.Tuseme tu kwa ujumla WATU hatupendani au WATANZANIA hatupendani .Hakuna cha wanawake wala wanaume.Wengi wakatili hadi unashangaa.Wewe mwenyewe mleta mada Pasco hebu jichunguze kama una upendo wa kweli au unafiki tu..
Binti Sayuni, kiukweli kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, katika suala zima la upendo, mimi sio tuu napenda kwa dhati, bali nina upendo wa mshumaa!, naweza kumulikia wengine huku kwangu kunateketea!.

Kiukweli sisi watu wa kadha fulani, Mungu katujalia sana, hatunaga roho mbaya!. Nakumbuka nilipoanza kazi kwa mara ya kwanza, enzi hizo tunalipwa fedha dirishani, kukatokea kabinti kamoja "cheupe" moyo wangun ukakandondokea!, siku ya mshahara kakaja kakakuta foleni ndefu kakaomba kuingia mbele yangu!, si unajua tena watu wengine wamejaaliwa maombo yenye shukrani!, fole za enzi hizo watu ni kwa kubanana ile mbaya!, kiukweli ilikuwa taabu!. Alipomaliza tuu kuchukua nikamwambia nisubiri!, amini usiamini, baada ya kuuchukua mshahara wangu mzima hivyo hivyo ulivyo na bahasha yake hadi zile coins, nilimkabidhi hivyo hivyo ulivyo!.

Wengine tuoneni hivi hivi na umasikini wetu!, wengine umasikini ni wa kujitakia shauri ya upendo wa mshumaa, unamulikia wengine huku wewe ukiteketea!.

Pasco
 
Asilimia kubwa zaidi ya wanawake nuksi tena ole wako ukaombe kazi ofisin halafu umkute yeye ndio incharge halafu manshalah mtoto wa kike ukute mungu kakujalia thubutuu ajira utaisikilizia kwenye bomba wanaume nawapa saluti sana mtu mnakuta hawajuani wamekutana sehemu watasaidiana utafikiri walijuana miaka kumi iliyopita .

na ww hujui me kwa me huwa tunabaniana sana kwenye ajira
 
wivu kwa wanawake hatupendi ku appreciate wengine kuwa wametuzidi kwa baadhi ya vitu japokuwa na wanaume wana matatizo yao ya kutopendana hawajafikia kiwango cha wanawake ni too much
 
Hawapendi kwa kua wanaroho za kutopendana,mwanamke yuko tayari kumpigia hesabu mwenzie kuanzia kiatu alichovaa mpaka nguo ya ndani.
Akijua gharama ni ndogo anamdharau akijua ni kubwa kumzidi yeye basi anamchukia

umeona eeeeh yaani mwanaume akitaka hata kukusalimu au kukwambia chochote kama ndo unamwendea atakuangalia kuanzia usoni lakini mwanamke mwenzio ataanzia unyayoni atakupandisha mpaka kichwani
 
Women, what does it take to accept that there are women prettier than you?

Unakuta wanawake wanakuonyesha attitude, hamjuani, ankuanza dole la mguuni anakupandisha mpaka juu.

I am a woman but kwa kweli this makes me sick!

hahahaha hata mimi hii siipendi hata kama ndo unashuka kwenye kigari chako mtu ataanza kuuangalia mguu wenye kiatu kabla ya kiwiliwili chenyewe kama anakudai
 
Asilimia kubwa zaidi ya wanawake nuksi tena ole wako ukaombe kazi ofisin halafu umkute yeye ndio incharge halafu manshalah mtoto wa kike ukute mungu kakujalia thubutuu ajira utaisikilizia kwenye bomba wanaume nawapa saluti sana mtu mnakuta hawajuani wamekutana sehemu watasaidiana utafikiri walijuana miaka kumi iliyopita .

umeona eeeeeh hata kama umekwama na unahitaji msaada hata wa kuuliza njia muulize mwanaume atakupa maelezo kiroho safiiiiiiu
 
Dawa yao ni kuwajaza tu {kuwaoa kwa wingi} ndo watasigana mpaka mwisho,kazi yako ni kubadili ratiba tu.
 
Mimi ni mwanamke lakini nakusapoti asilimia 100, japo huwa hatuukubali ukweli lakini sisi hatupendani hata kidogo
Japo nakiri pia kuna wanawake vwa aina mbili!, wanawake ambao wameumbwa kike, but they think like men!, hawa hawana chuki!. The same applies to men, kuna wanaume suruali tuu, but the think kikike kike!.
Pasco
 
kuna watu wanatukanana kilugha humu nacheka tuu vitu walivyoandika!as long as wengi wetu hatuelewi walichoandika hata sioni umuhimu wa wao kupigwa ban!endeleeni kutukana kilugha vijana
 
Hata mi hua nashangaa kwa nini wanawake wengi hawanipendii cha ajabu hata pesa sina sijui ningekua nazo wangekufa kwa chuki !!!!ila sio wote hatupendan baadhii tu ila wengi wetu tuna chukii na wivu hata awe rafiki wa karibu usimuaminii!!
 
Hata mi hua nashangaa kwa nini wanawake wengi hawanipendii cha ajabu hata pesa sina sijui ningekua nazo wangekufa kwa chuki !!!!ila sio wote hatupendan baadhii tu ila wengi wetu tuna chukii na wivu hata awe rafiki wa karibu usimuaminii!!
Wewe wadharau wala wasikuumize kichwa muhimu maisha yako yanaendelea na wala hakuna anayekudai, na pia hutii huruma kwa mtu yoyote
 
Jaman co kwl..mi nawapenda wanawake wenzangu na cna roho mbaya..ila huwa inatokea tu hata wanaume kwa wanaume hawapendan
 
Back
Top Bottom