Swali hili sio muhimu kumuliza mpenzi

Swali hili sio muhimu kumuliza mpenzi

Shida ni kwamba unaweza tumia background kuchafua picha ya sasa.. Ili tuende sawa hakuna kujua saana jua kwa bahat mbaya wakati wa story na nini hapo sawa lakini si unakuja kama unanifanyia interview aku mie

Ndiohapo sasa kuna mwingine kakitu kadogo tu past inakua kama reference mpaka unajuta kumueleza oh ndiomana x alikushindwa kwa tabia hii hii,,, mara alikushindwa y kakushindwa mi ntakuweza!! So mimi sishauri kabisaaaaa
 
Siwezi kumuuliza wife swali kama hilo.
Najua nikimuuliza atanidanganya.

Vimada huwa naviuliza japo najua majibu nayopewa si ya kweli.

Wife hajawahi niuliza swali kama hilo.
Akiniuliza ntamdanganya....

Michepuko huwa inaniulizaga.... nawajibu uongo mtupu!!

Kuna maswali mengine si ya kuulizana wanandoa. Ni kujitafutia matatizo tu.

Baada ya kusema hayo, Zinduna, ukiwaacha wale wanne naowajua, kabla yao ulishakuwa na wangapi? (Najua utanidanganya)

Ni kweli nitakudanganya kwa sababu najua ukweli utakuuma.
Chezea binti wa Kizenji weye.
 
hahahahahaaaa...
Mbona wapo tu ila ukitaka kuwapata usiwe na haraka.
Na usifikiri utakutana nao maeneo yafuatayo:
-bar
-chuoni
-club
-na sehem nyingine za starehe

Mkuu samahan unaweza ukafuta chuoni?
 
baby:wangap? mimi:wachache tu baby hata sio wengi! baby:wangp? mimi: cam'on baby hebu tubadili mada nakupenda wewe sasahivi, niko na wewe. baby:haya bhana! DONE!!!
 
Tunauliza just for fun kwa sababu hakuna atakayesema ukweli. Ila kuna kitu moja inaitwa THE RULE OF 3. Demu akikutajia idadi ya wanaume alichapwa nao wewe zidisha kwa tatu. Akikwabia ameshachapwa na wanaume watano maana yake waliomchapa ni 15 (5x3). Na mwanaume akikwambia idadi ya mademu aliochapa wewe gawanya kwa tatu utapata idadi kamili. Mfano akikwambia amechapa 15 maana yake ni kwamba amechapa watano (15/3)
 
Teeeh..nimefikiria kitu, mamito utakuwa na ki-Noah chako ndio maana hupendi hayo maswali..teh teh!

Hapana bado kinohaa nionge basi kibaby walker he he he mtani usijekufa ukatembea na hela kiunoni he he he
 
Good question Ila jibu lake unaweza juta kuuliza.....think again.
 
zamani si nilikuwa nakupima nione kama unaweza basi nitongoze tena uone kama nitakubali? embu fanya


Aaah... Saivi siwezi coz nishajua we unapenda sana mpunga. Zamani sikujua ndo maana niljaribu bahati yangu, mchagga weye ukabana koteeee! Teeeh!
 
Back
Top Bottom