Swali hili sio muhimu kumuliza mpenzi

Swali hili sio muhimu kumuliza mpenzi

How far will you be sure he/she is telling the truth? You just assume the number to be 1 or 2. I wonder ıf there will be anyone intends for marriage who can mention a number such as 4, 5

The past defines the future
If you don't know history you can't understand the present/future

A girl who has slept with bunch of men before you date her will continue the trend because her body can no longer adapt to a single diick. Like they say Once a soldier always a soldier
 
salama tu. Ningependa kuuliza kwani kuna shida gani mwandani wako akijua background yako?

Shida ni kwamba unaweza tumia background kuchafua picha ya sasa.. Ili tuende sawa hakuna kujua saana jua kwa bahat mbaya wakati wa story na nini hapo sawa lakini si unakuja kama unanifanyia interview aku mie
 
The past defines the future
If you don't know history you can't understand the present/future

A girl who has slept with bunch of men before you date her will continue the trend because her body can no longer adapt to a single diick. Like they say Once a soldier always a soldier

Hahahahahahaa once a solder always a solder.
Don't you beleave in changes
 
The past defines the future
If you don't know history you can't understand the present/future

A girl who has slept with bunch of men before you date her will continue the trend because her body can no longer adapt to a single diick. Like they say Once a soldier always a soldier

What about men! It is always women/ girls. Akifanya mwanaume sawa akifanya mwanamke kosa.
 
hahahahahaaaa...

Mbona wapo tu ila ukitaka kuwapata usiwe na haraka.

Na usifikiri utakutana nao maeneo yafuatayo:

-bar

-chuoni

-club

-na sehem nyingine za starehe

Hujanijibu swali la msingi kiongozi, unataka bikra..we unayo?
 
Nikiuliza ni vile nataka kucheza na saikolojia yake, na jibu atakalonipa haliwezi kubadilisha chochote coz nina uhakika kwa asilimia kubwa ni wachache wenye uthubutu wa kusema ukweli.
Huwa nasema, karne hii ukipata mtu alotembea na watu wanaopungua watano utakuwa umepata bikra..iwe ya kiume au ya kike..

Mi nina mmoja tu ambaye ni mume wangu sijawahi kuwa na mtu mwingine na sitokaa niwe na mwingine ingawa yeye ni cha wote.
 
Nikiuliza ni vile nataka kucheza na saikolojia yake, na jibu atakalonipa haliwezi kubadilisha chochote coz nina uhakika kwa asilimia kubwa ni wachache wenye uthubutu wa kusema ukweli.
Huwa nasema, karne hii ukipata mtu alotembea na watu wanaopungua watano utakuwa umepata bikra..iwe ya kiume au ya kike..

Here I am
 
kuuliza mara moja sio ujinga, ila takupa kugundua vitu vingine hapo hasa namna atakavyojibu, we mcheki tu jinsi anavyojibu. la msingi ni kuendelea mbele tu, kubali yaishe
 
Nikiuliza ni vile nataka kucheza na saikolojia yake, na jibu atakalonipa haliwezi kubadilisha chochote coz nina uhakika kwa asilimia kubwa ni wachache wenye uthubutu wa kusema ukweli.
Huwa nasema, karne hii ukipata mtu alotembea na watu wanaopungua watano utakuwa umepata bikra..iwe ya kiume au ya kike..

wacha bana
 
Wanaouliza maswali kama hayoi mara nyingi hawajiamini!
 
Hivi umeshakuwa na mahusiano na wanaume/wanawake wangapi?

Should such question be asked in a relationship? Is it important or rather irrelevant?

Have you ever asked your partner the question or have you been asked? What was the response?

Siwezi kumuuliza wife swali kama hilo.
Najua nikimuuliza atanidanganya.

Vimada huwa naviuliza japo najua majibu nayopewa si ya kweli.

Wife hajawahi niuliza swali kama hilo.
Akiniuliza ntamdanganya....

Michepuko huwa inaniulizaga.... nawajibu uongo mtupu!!

Kuna maswali mengine si ya kuulizana wanandoa. Ni kujitafutia matatizo tu.

Baada ya kusema hayo, Zinduna, ukiwaacha wale wanne naowajua, kabla yao ulishakuwa na wangapi? (Najua utanidanganya)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom