ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,772
- 127,919
Nasemaga hivyo kwel ujue
Kumbe, safi sana..mie nikadhani ni Jerry Springer Show!..teh!
Nasemaga hivyo kwel ujue
Kumbe, safi sana..mie nikadhani ni Jerry Springer Show!..teh!
hahahahaha et past continous
Bi dada kuna Past Continuous usisahau hilo!
hahahahahhaha ndoapo sasa unajua past kumbe kitu continuous teh nmeipenda hii!
hata wewe niulize nikujibu uone kama ujaomba poo
Nikiuliza ni vile nataka kucheza na saikolojia yake, na jibu atakalonipa haliwezi kubadilisha chochote coz nina uhakika kwa asilimia kubwa ni wachache wenye uthubutu wa kusema ukweli.
Huwa nasema, karne hii ukipata mtu alotembea na watu wanaopungua watano utakuwa umepata bikra..iwe ya kiume au ya kike..
Usimwambie mtu!
Hiyo ni njia ya kutafuta excuse kwa wanawake.
Ukweli ni kwamba, mwanamke anatakiwa akitulize mpaka atakapoolewa ndo mana amewekewa bikra kwa ajili ya mmewe tu.
ni kweli mkuu yani mie sitakuja kuoa msichana ambae si bikra.
NGONO ilikusudiwa kwa watu ambae wangefunga ndoa lakini watu hawataki kukubali kwamba kufanya NGONO na mtu ambaye hujafunga nae ndoa ni dhambi ya uzinzi.
Nikiuliza ujue nacheza na akili yako wala sio lingine. Coz najua utasema uongo. Siku hizi watu wanatembea bila boxer/pichu..!
Hebu tujiulize, tunafikiri kuwa swali hilo la kujua idadi ya wapenzi wa nyuma lina mantiki kweli? na je, kila mmoja anategemea kupata jibu gani kutoka kwa mwenzie?Pale mwanzoni mnapotongozana ni kawaida kuuliza ushakuwa na wapenzi wangapi,ila sasa baada ya kuwa pamoja kuuliza uliza tena utakuwa hujiamini
Hebu tujiulize, tunafikiri kuwa swali hilo la kujua idadi ya wapenzi wa nyuma lina mantiki kweli? na je, kila mmoja anategemea kupata jibu gani kutoka kwa mwenzie?
Na hata baada ya kujua hayo utafanya nini baada ya hapo?
Umpate wapi karne hii..! Hakuna sababu ya kujiwekea vigezo ambavyo mwenyewe huna. Wewe ni bikra??
ha ha ha haha na mimi nasema uongo wa kukuumiza
Swali la kizushi hili
Dada habari yako.
kwanini?