Swali hili sio muhimu kumuliza mpenzi

Swali hili sio muhimu kumuliza mpenzi

Swali gumu kabisa hili halipaswi kuulizwa ila napenda kufahamu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hiyo ni njia ya kutafuta excuse kwa wanawake.
Ukweli ni kwamba, mwanamke anatakiwa akitulize mpaka atakapoolewa ndo mana amewekewa bikra kwa ajili ya mmewe tu.

Aaaa wapi??? Amuwekee mume aliyekitembeza idadi ya kujaza youtong???? Bahati hiyo haitokei bikra kazisubirini peponi!
 
Umpate wapi karne hii..! Hakuna sababu ya kujiwekea vigezo ambavyo mwenyewe huna. Wewe ni bikra??

Very good question? Yeye bikra???? kwanini afikiri kwamba ana deserve bikira wakati yeye ni kitmbi???
Wale aliolala nao akawaacha anafikiri waolewe na nani? Hivo hawa anavowatumia na kuwadump na mke wake naye yuko mahali anainamishwa mpk watakapokutana!
Apandacho mtu ndicho avunacho!
 
i believe lina umuhimu wake, kuwa mkweli kwa mpenzi wako and the truth with set ur consious free. Wote mnabidi muwe truthful and honesty to one another!
 
Kunywa na kula week end hii nitalipia Mimi! Chukua likes laki 8!!!


Mkuu hapo kwa Mpemba kasema hakufahamu..nshaanza kula mie!teeh! Huo ndio ukweli, mtu asijiwekee vigezo ambavyo mwenyewe hana!
 
ya nini kutaka kujua maana sana sana unajipa muda wa kudanganywa tuu kwa maana hatakuambia ukweli kabisa na wewe hutasema ukweli wako sasa ya nini kudanganyana zinduna

hiyo ni kweli as long as hujamkuta virginity usithubutu kuuliza utaumiza roho yako bure.huwa wanasema ni wako mkiwa pamoja bed.kwi kwi kwi!
 
Last edited by a moderator:
Mie kuna mmoja alinitajia kabisa kuwa nilikuwa na fulani na kabla yake nilikuwa na fulani.halafu nawafahamu na wanakaa eneo la jirani naye,mie nipo mbali kidogo.kwa kweli hayo ni maswali ya kujiumiza. Hayana umuhimu sana.mtu umemkuta ana meno 32 halafu unauliza karne hii.nilikoma.ila nimekuwa naye miaka minne sasa!
 
Hilo swali hata mie fundi lazma nikuhoji kwa sabab zifuatazo

Nijue upo used sana au kiasi ili nikiwa nawe usianze kuniektia hujui shughuli au nikikukuta malay wa bed nisishangae na kuhoji

Pili ni ili nijue kwa nn una list kubwa labda kuzd umri wako na kwa nn!? Je ni kwamba una michepuko mingi au ni kwamba ktabia huwezekaniki

Tatu ni ili nijue una kpumzisha mda gan kati ya break up na new one au ndio mdundiko haina kuilaza

Pia nahoji ili nijue je nikiwa nawe public naeza ringa kuwa nakjua mie tuu au ndo niwe kimya mana ushavuliwa wa mnyama na karibu kila mtu.

Sababu zngne nifaten PM
 
Hilo swali linakujaga tu ghafla, haswa ukionekana mjanja mjanja kwenye maongezi yako.
 
Back
Top Bottom