Superintendent kimura
JF-Expert Member
- Feb 24, 2023
- 522
- 1,926
Una watoto wangapi sasa hivi?
Hili swali nimeulizwa jana na braza nakajibu 40 akakata simu
Hili swali nimeulizwa jana na braza nakajibu 40 akakata simu
Mahi kunielewa ndio hujawahi weza😃Hupendi nini my 😂
📍📍🔨Mission Impossible
Kwenye Ardhi
29 February
Experiment
Mbona nakuelewa my 😂Mahi kunielewa ndio hujawahi weza😃
Vipi mbona siku hizi hauendi kazini? -- Nani alikwambia nikitoka naenda kazini?Swali gani unachukia kuulizwa ?
Nambie.Uko wapi?
Naelewa mahi ila sitaki😅Mbona nakuelewa my 😂
Nilitaka nikukere tu na neno my
Moja Maswali nisiyopenda kuuliza ni hayaDini na kabila