Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,121
- 114,157
Sana mkuuUmeoa? Utaoa lini? Unafanya nini siku hizi?
Ni maswali fulani hivi unaweza sema yamekaa ki innocent na aliyekuuliza anakutakia mema ila nimekuja ku realize ni maswali fulani hivi ya kichawi sana .