Swali gani unachukia kuulizwa?

Swali gani unachukia kuulizwa?

My wake ndio nini😅

Hebu niambie hizo levels ulozonifikiria kwanza!
[/QUOTE]
Sasa hukusema mapema kama hupendi kuitwa my 😀 na kuna sehem tayali nimekuita my😭
 
My wake ndio nini😅

Hebu niambie hizo levels ulozonifikiria kwanza!
Sasa hukusema mapema kama hupendi kuitwa my 😀 na kuna sehem tayali nimekuita my😭
[/QUOTE]

Lols Kwa mdada inavumilika
Ila sio kwa mkaka😅
 
Kuulizwa unaoa mara huna mtoto mpaka sasa, kwann hunenepi, hajui ninachokipitia ni mazito sana,

Kuitwa my,, my ni nn ? Hakuna neno jingine zaidi ya my kama hakuna niite tuu secretarybird
Mimi nachukia demu akiniuliza, "kwa nini una dushelele refu na Nene kiasi hicho?". Huwa nashindwa kumjibu kwa sababu Mimi sijajitengeneza/sijajiumba mwenyewe.
 
Back
Top Bottom