The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,358
- 118,922
Mtu anakuuliza ''Huonekani?''
Wakati huo upo mbele yake!
Wakati huo upo mbele yake!
Lazima uko kwenye list ya bamianiki ambiwa let me see your mjegejo.
Khaa!! Mtani uwe unajibu ili usipishane na magari ya mshahara. 😂😂"Una Mchumba?"
Utafikiri kuwa na mchumba ni lazima, nakerekwa mie,
Khaaaaah
Uko wapi ?Swali gani unachukia kuulizwa ?
Saa ingine unakuta Mkuu we mwenyewe unapita tu. 😀Nikikupa hutaniacha?
Swali lisilopendwa na Me karibia wote.Uko wapi ?
Maswali mengine ya kiwaki sana!Saa ingine unakuta Mkuu we mwenyewe unapita tu. 😀
Hapo lazima ukwazike.
Pole Mkuu. 😀Maswali mengine ya kiwaki sana!
Eti kwa nini mimi mneneSwali gani unachukia kuulizwa ?
Niku onyeshe ulinganishe mwenyewe?Lazima uko kwenye list ya bamia