Swali Fikirishi: Je Tanzania tunapambana na nani DRC (EA)?

Katika kosa ambalo hatutakiwi kulifanya ni kuondoa jeshi kule.
Ni vema tukatafuta njia huru zaidi ya kushughulika na Congo nje ya mwamvuli wa UN hata ikibidi tujiundie kundi letu la waasi au kutafuta namna ya control Kinshasa.Mwalimu Nyerere alikuwa na guts za hivyo.Aliona mbali sana.
Tukiiacha Congo kama ilivyo sasa,kuna siku karma itatujia,maana anayetamani coltan ya Congo anaweza kutamani bandari ya Dar pia!
Utajiri wa Congo ukiingia ukajaa mikononi mwa hawa selfish wetu wa E.Africa,kuna siku watautumia huo utajiri kupata na utajiri wa Tanzania.
 
Kabila anaweza kujirinda yeye ila kwa wananchi hawezi anaomba, msaada kutoka kwa jirani.
 
Bila kutumia akili nyingi kufikilia jeshi la Tanzania linapambana na jeshi la Rwanda baada ya kuwaondoa m23 . Hivyo hawa jamaa wanalipa visasi.
 
Back
Top Bottom