DRC: Rwanda imeingiza mizinga ya kushambulia ndege

kibarango

Senior Member
Sep 6, 2014
146
308
Kwa mjibu wa gazeti la Le Monde la huko Ufaransa linataja Jeshi la Rwanda RDF kuingiza vifaa vya kutungua ndege na drone kusaidi waasi wa M23.

Ikumbukwe kwa sasa wanakabiliana na majeshi ya Kongo na SADC na sehemu kubwa ya jeshi la nchi kavu la SADC likiwa na askari toka Tanzania hii kwangu naona ni vita isiyo ya moja kwa moja kati ya SADC na Rwanda.

Elements of the Rwandan army supporting the M23 rebellion in eastern Democratic Republic of Congo have fired at least one surface-to-air missile, an internal UN document indicates.

According to the UN document, a “ presumed surface-to-air missile from the Rwanda Defense Forces (RDF)” targeted a UN observation drone on February 6, without reaching it. It would have been fired from an armored vehicle in an area controlled by the M23, specifies this confidential document.

“ French external military intelligence confirms that the WZ551 type armored vehicle, equipped with a surface-to-air missile system, is Rwandan ,” he adds. Two aerial photographs are attached to the report. We can see a 6-wheel armored vehicle with, deployed on its roof, a radar and missile launcher system. They were taken about 70 km north of Goma, north of Rutshuru territory, by the drone which was targeted by the missile.

An incident that has remained silent until now

Monusco (UN Mission in the DRC) indicates in the document that it is not aware of " any armed groups possessing the training or resources necessary to operate and maintain a mobile surface-to-air missile system " and points to an "escalation of forces "conventional forces engaged in the conflict in eastern DRC ". Neither the UN nor the FARDC (Armed Forces of the DRC) have communicated about this incident until now.

The document specifies that many types of weapons were used by " the M23s and the Rwandan army " against flying aircraft and that they are also in possession of anti-aircraft guns and portable air defense systems such as MANPADS.

Link kusoma habari kamili.

 
Hapo ndio kuna kosa wanafanya kwa kweli huko kwa fasi ya frontee hali ni mbaya sana kwa m23 wanapaparika mno kiasi kwamba wanakua easy target mno mno .
Kwa kifupi hali waliyokutana nayo imewachanganya mno,
Walizoea FARDC wakipigiwa risasi mbili tatu wanakimbia ila hao ngoma nagwa waliopo huko hawaelewi somo
 
Hali imekua tata. Nika Rwanda inajipanga na all out war. Imepoa tangazo la conscription. Kupeleka vijana jeshi kwa dharula.
2064376595.jpg
1033944018.jpg
 
Juzi wamefukuzwa Shasa, 249 killed.
By May this year, Kivu will be totally under FARDC/SADC.
Please pin this post.
Ngoja ni pin kabisa, Naomba uwe karibu wakati huo for information sharing, usije ukapotea. Kwa kifupi tu hivi sasa FARDC/SADC wameishiwa maneno kabisaa, yale majigambo waliyoingia nayo SADC unayasikia tena? Hivi sasa zinaendelea jitihada za kidiplomasia kwa ajiri ya kuficha aibu. M23 wakiweka wazi yaliyotokea hizi siku za karibuni, raia wa kawaida kutoka nchi za SADC wanaweza wakaingi barabarani.
 
Back
Top Bottom