DRC yafunga ubalozi Kenya kwa kuituhumu kushirikiana na M23

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,090
2,710
DRC imemuondoa barozi wake Nairobi baada ya kuituhumu Kenya kuhusika na kuwahifadhi waasi wa M23.

Ikumbukwe pia kabla ya Kuyafukuza majeshi ya Africa mashariki DRC wanajeshi wa kenya hawakuweza kupambana na M23 walivokua DRC hivo kuonekana kuna ushirikiano na waasi.

Jeshi la Africa mashariki halikuweza wala kutaka kupigana na M23 tofauti na majeshi ya SADC ambayo yaliumaliza mgogoro wa waasi mwaka 2013.
IMG_2884.jpg
 
Kenya pigo zao ni za kibepari... Lazima tu waje kuiba, kwa sababu hawana rasilimali nchini kwao... Utajiri wa kenya umetokana na kuiibia TANZANIA, na kutorosha madini kuyapeleka Kenya
Uamuzi wa Felix ulikua wa kijinga sana kuwapa kandarasi ya ulinzi KDF ,na tulisema humu ,binafsi nilijua tu KDF inaenda kuiba madini ,na hawana uwezo wala nia ya kuizuia M23, mchongo wa Ruto na PK ,ila Felix hakushtuka
 
Kenya pigo zao ni za kibepari... Lazima tu waje kuiba, kwa sababu hawana rasilimali nchini kwao... Utajiri wa kenya umetokana na kuiibia TANZANIA, na kutorosha madini kuyapeleka Kenya

Aisee sikujua hii
 
DRC imemuondoa barozi wake Nairobi baada ya kuituhumu Kenya kuhusika na kuwahifadhi waasi wa M23.

Ikumbukwe pia kabla ya Kuyafukuza majeshi ya Africa mashariki DRC wanajeshi wa kenya hawakuweza kupambana na M23 walivokua DRC hivo kuonekana kuna ushirikiano na waasi.

Jeshi la Africa mashariki halikuweza wala kutaka kupigana na M23 tofauti na majeshi ya SADC ambayo yaliumaliza mgogoro wa waasi mwaka 2013.
View attachment 2845543

Recalling an ambassador is NOT closing an embassy.
 
DRC imemuondoa barozi wake Nairobi baada ya kuituhumu Kenya kuhusika na kuwahifadhi waasi wa M23.

Ikumbukwe pia kabla ya Kuyafukuza majeshi ya Africa mashariki DRC wanajeshi wa kenya hawakuweza kupambana na M23 walivokua DRC hivo kuonekana kuna ushirikiano na waasi.

Jeshi la Africa mashariki halikuweza wala kutaka kupigana na M23 tofauti na majeshi ya SADC ambayo yaliumaliza mgogoro wa waasi mwaka 2013.
View attachment 2845543
DRC ajiondoe EAC maana seems wanayo solution ya kila janga walilonalo.

Kwa nini asipeleke jambo lake kwenye kikao cha wakuu wa nchi za EAC?

Waafrika tuna shida sana kwenye utaratibu
 
Back
Top Bottom