Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
Hivi tukiweza kuondokana na mabati yenye kutu, yaliyochoka tutakuwa tumeondokana na alama kubwa ya miji yetu? Tunaweza kufanya nini kuhamasisha watu kuezeka kisasa? Inawezekana kuondoa bati hizi bila kuvunja nyumba zilizochoka? Kuna uwezekano miaka 25 toka sasa bado tutakuwa na nyumba hizi kama vivutio vya watalii?
Chama Tawala kina agenda yoyote kubadilisha mwonekano wa miji yetu?
Chama Tawala kina agenda yoyote kubadilisha mwonekano wa miji yetu?