Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

Nyie watu bwana!! teh teh teh, very pathetic.
Mtaishiaga kulalamika na kunung'unika kwenye mitandao ya kijamii, vijiweni na vichochoroni mpaka kufa kwenu.
Binafsi muda wa swala ukifika niwapo ofisini ni lazima niswali either nikaswalie msikitini or hapohapo ofisini na pia ninapokuwa sina jukumu la kikazi baada ya kuwa nimelimaliza mara nyingi napendelea kusoma ISLAMIC ARTICLES and TEXT BOOKS.
Naamini laiti tungelikuwa watumishi katika the same office, usingekuwa na uthubutu hata wa kunyanyua unyayo wako na kunifuata kwa jambo hili, ambalo ndilo kwalo umekuja nalo katika thread yako.
I HAVE SUBMITTED MYSELF TO ALMIGTY ALLAH, WHO IS NOT ASSOCIATED TO ANY THING, again ANY THING.
I 'm a MOSLEM, All Praises is due to ALLAH, the LORD of the worlds.
 
Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu........kazi zenyewe zipo umezikuta na utaziacha usitake kujifanya unajua sana kufanya kazi.Usikute toka uanze kufanya kazi hio una mafanikio ya chini tu na Ofisini ni mtu wa kawaida lkn kwa kupigia wenzako kelele? Fanya kazi ila tambua Mungu ndo anaekuwezesha kufanya kazi hio
 
Kuna mmoja nagombana nae kila siku hadi ananiona agent wa shetani
 
Nyie watu bwana!! teh teh teh, very pathetic.
Mtaishiaga kulalamika na kunung'unika kwenye mitandao ya kijamii, vijiweni na vichochoroni mpaka kufa kwenu.
Binafsi muda wa swala ukifika niwapo ofisini ni lazima niswali either nikaswalie msikitini or hapohapo ofisini na pia ninapokuwa sina jukumu la kikazi baada ya kuwa nimelimaliza mara nyingi napendelea kusoma ISLAMIC ARTICLES and TEXT BOOKS.
Naamini laiti tungelikuwa watumishi katika the same office, usingekuwa na uthubutu hata wa kunyanyua unyayo wako na kunifuata kwa jambo hili, ambalo ndilo kwalo umekuja nalo katika thread yako.
I HAVE SUBMITTED MYSELF TO ALMIGTY ALLAH, WHO IS NOT ASSOCIATED TO ANY THING, again ANY THING.
I 'm a MOSLEM, All Praises is due to ALLAH, the LORD of the worlds.

soma history ya dini yako wewe islam ni dini ya uwongo
 
Na kwanini mtu akukwaze kwa kutimiza wajibu wake??? Basi Haya kwenda chooni isiwepo maofisini kwa sababu ni wastage of time
 
waropokaji kama wewe njia yao fupi,toa hayo maandiko yanayosema hivyo kuback up hayo maneno"jisaidie usaidiwe.". Kama huna(nina uhakika huna) acha uropokaji na jambo ambalo huna uhakika nalo.

Unaweza kuwa Kichwa cha mtu lakin mtu mwenyewe asiwe na akili ndo kama wewe. Kamabhujui hlo andko bas labda useme n muislam lakn kama n mkristo huna undugu na biblia tena we m mkristo jna ndugu.poleee
 
Last edited by a moderator:
Wamesahau hata vtabu vua maandko vnasema jsaidie nawe utaidiwe.wanapenda dezp hao..hawana lolote
Ebu nipe huu mstari unatoka kitabu gani????
Huu ndio mstari unaowapaga wakristo-jina pawa ya kwenda kwa waganga wa kienyeji.

Hakuna kitu kama hicho kwenye Bible eti jisaidie name nitakusaidia.
 
wengi wa wanaojiita wakristo are not at all Christ followers because they don't meet discipleship criteria,hivyo siyo wakristo kibiblia ni religious narzis,they're known in their own books but unknown in the book of LIFE!
However,the so-called moslems aren't at all mohammedans rather hypocrites and religious harrots!
Take note:dini ni zenu na wokovu ni wa Mungu wetu aliye hai na anawajua walio wake yaani wale aliowaridhia na anawajua hata kabla ya kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu!
 
Unaweza kuwa Kichwa cha mtu lakin mtu mwenyewe asiwe na akili ndo kama wewe. Kamabhujui hlo andko bas labda useme n muislam lakn kama n mkristo huna undugu na biblia tena we m mkristo jna ndugu.poleee

Umekuja napopataka,hapo ndio umejikoroga zaidi mkuu,kuanzia mwanzo 1 hadi ufunuo nitajie hilo andiko liko wapi?ndio maana nimekwambia wewe ni mropokaji..kama kweli unaijua biblia nitajie hilo andiko.
 
Last edited by a moderator:
Ni kama sikubaliani na wewe;
Mtu anayemjua Mungu ni lazima pia
awe anajitambua;

Huwezi kuacha kufanya kazi ukaanza kusoma Biblia
hata Mungu unayemwabudu hawezi kukuelewa;

Hii ya swala tano mbona huwa ni muda mfupi sana?
Nina mkuu wangu wa swala tano lakini kazi zake zipo
sawa tu.

Tuwaache wamwombe Mungu, hatujui hata hapa tulipo
ni kwa ajili ya maombi ya nani? Ni lazima kati ya hao
waombaji yupo ambaye Mungu amesikia maombi yake.
 
Nyie watu bwana!! teh teh teh, very pathetic.
Mtaishiaga kulalamika na kunung'unika kwenye mitandao ya kijamii, vijiweni na vichochoroni mpaka kufa kwenu.
Binafsi muda wa swala ukifika niwapo ofisini ni lazima niswali either nikaswalie msikitini or hapohapo ofisini na pia ninapokuwa sina jukumu la kikazi baada ya kuwa nimelimaliza mara nyingi napendelea kusoma ISLAMIC ARTICLES and TEXT BOOKS.
Naamini laiti tungelikuwa watumishi katika the same office, usingekuwa na uthubutu hata wa kunyanyua unyayo wako na kunifuata kwa jambo hili, ambalo ndilo kwalo umekuja nalo katika thread yako.
I HAVE SUBMITTED MYSELF TO ALMIGTY ALLAH, WHO IS NOT ASSOCIATED TO ANY THING, again ANY THING.
I 'm a MOSLEM, All Praises is due to ALLAH, the LORD of the worlds.

MASHAALAH HATUTOFAUTIANI NDUGUYANGU.

Wengi hawataki kumtegeme mola wao ndiomana wamepumbazika na anasa.
 
Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia au koroani tu!

Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.Wameridhika huwakuti wakichacharika.

Hapa ofisini tunao wote wawili.Ustaadhi ye mda wote yupo na majarida ya kislam,ukimpatia kazi ya masaa ataifanya wiki na hataifanya vizuri.

Ana ratiba ya kufundisha madrasa mpaka sa 11 usiku anakuja job kupiga usingizi.Ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.

Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.Acheni hizo wandugu,dini zipeni nafasi yake,na kazi ipewe nafasi yake.Kama huwezi basi acha kazi ubaki msikitini au kanisani.

Sasa boss halalamiki unalalamika wewe kibarua,,by the way wanachokuboa nini? Maana kama kazi wangekuwa hawafanyi wangeshagukuzwa. Kila mtu na Imani yake we kama umezoea kuamini Mungu yupo jumapili tu ni wewe!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Hakika maisha ya dunia ni pepo kwa kafiri, na ni jela kwa muumin. Maisha ya muumin hapa duniani ni kama msafiri aliyejipumzisha chini mti, huku akijua mda mfupi tu ataondoka.
 
Back
Top Bottom