Swala la kujiunga na OIC Hawajalipatia Ufumbuzi?

Mwanafalsafa,
Mkuu tafadhali... nilifikiria una ELIMU dunia kumbe nawe yale yalee...Hivi Queen Elizabeth wa Uingereza ana nafasi gani ktk kanisa la Kikristu?.. maanake unazungumzia Sultan wa saudi Arabia ambaye sisi hatumjui isipokuwa kwa Usultani wake. Unazungumzia Iran ambako huyo Komein anaweza kuja Tanzania na tukamtemea mate ni sawa na Mtikila au Kakobe happens to be a figure behind revolution. Unafikiria Vatican wanamtambua na kwa sifa gani?.. acheni uchinvi kama hamjui dini ya wenzenu msianze kupaka tope kila mnapojisikia. Vatican is a country inayoongozwa na Taasisi chini ya Pope and they practice Ukatoliki (Ukristu)..

Tanzania tulinyimwa mikopo kwa sababu tulikuwa Wakomunist, Socialist au Wajamaa.Tuli practice Ujamaa and that was who we were! -Unaweza kunambia kwa nini hatukusema haihusiani kwani Tanzania ni nchi, huo Ujamaa ni kitu kingine.
 
Ndugu Stringerbell acha kuwa "naive" kiasi hicho! Mimi sina mawazo ya mtu yeyote, nina mawazo yangu mwenyewe! Kwani nilivyo-cite OIC Charter nimemtaja Nyerere?
Hebu niambie kama Katiba ya OIC haisemi kwamba lengo la OIC ni kueneza Uislamu! Hapo juu nimeandika kama kwa sehemu kama ifuatavyo: "...to foster noble Islamic values concerning moderation, tolerance, respect for
diversity, preservation of Islamic symbols and common heritage and to defend
the universality of Islamic religion."
Sasa mimi Mkristo nina jukumu gani ya ku-defend the Universality of Islamic Religion kwa kisingizio cha misaada ya Waarabu? Na kama unadai kwamba nchi wanachama hawalazimishwi kujiunga, hicho kipengele hakina maana yoyote na walikiweka kwa bahati mbaya tu? Narudia kusema tena, we are not fools, you can't fool us simply like that! Kama Waarabu wana uchungu sana na sisi, labda kwa kupunguza machungu ya kutufanya watumwa, watupe hiyo misaada bure, bila kutulazimisha kujiunga nao na kuanza kulinda eti "Islamic Symbols!"
Wewe kama ulitembelewa na Jehova's Witness ulilazimishwa kujiunga na nini ndio utembelewe?

MR BUCHA wewe kweli mnafiki yaani wewe umechukua one the part of the katiba alfu umeitfsiri unafyotka mwenyewe ,mbona hivi vipengele umeviacha
"Exert efforts to achieve sustainable and comprehensive human development and economic well-being in Member States"

""Enhance and develop science and technology and encourage research and cooperation among Member States in these fields;"

hiyo hofu unayosema wewe kwamba utalazimishwa kuingiya kwenye uislam haitawezakana kutoka na katiba hiyo hiyo imegusia vipengele hivi hapa hebu soma hapo chini instead scaremongering peoples .au wewe kichwa maji

All Member States commit themselves to the purposes and principles of the United Nations Charter;

member States are sovereign, independent and equal in rights and obligations;

All Member States shall settle their disputes through peaceful means and refrain from use or threat of use of force in their relations

all Member States undertake to respect national sovereignty, independence and territorial integrity of other Member States and shall refrain from interfering in the internal affairs of others;
  • Member States shall uphold and promote, at the national and international levels, good governance, democracy, human rights and fundamental freedoms, and the rule of law.
wewe ndio wale mlokunywa maji ya bendera ya nyerere .hili swala la zanzibar sio tanganyika wache wazenji waamue watakavyo.
 
Mwanafalsafa,
Mkuu tafadhali... nilifikiria una ELIMU dunia kumbe nawe yale yalee...Hivi Queen Elizabeth wa Uingereza ana nafasi gani ktk kanisa la Kikristu?.. maanake unazungumzia Sultan wa saudi Arabia ambaye sisi hatumjui isipokuwa kwa Usultani wake. Unazungumzia Iran ambako huyo Komein anaweza kuja Tanzania na tukamtemea mate ni sawa na Mtikila au Kakobe happens to be a figure behind revolution. Unafikiria Vatican wanamtambua na kwa sifa gani?.. acheni uchinvi kama hamjui dini ya wenzenu msianze kupaka tope kila mnapojisikia. Vatican is a country inayoongozwa na Taasisi chini ya Pope and they practice Ukatoliki (Ukristu)..

Tanzania tulinyimwa mikopo kwa sababu tulikuwa Wakomunist, Socialist au Wajamaa.Tuli practice Ujamaa and that was who we were! -Unaweza kunambia kwa nini hatukusema haihusiani kwani Tanzania ni nchi, huo Ujamaa ni kitu kingine.

Mkuu kwanza calm down sija paka matope dini yenu na wala sijapinga OIC bali nime pinga sababu ambazo so far nimeona zime tolewa. Kama nime kudisappoint I'm sorry but siwezi kutoa maoni kwa kuangalia nani ata niona tofauti. Sasa twende kwa hoja mkuu.

Kwanza unavyo mchukulia sultani wa Saudi Arabia au Ayatolah wa Iran haina mantiki yoyote kwa maada. Point yangu ni kwamba nchi hizi zinaongozwa kwa misingi ya dini kama Waislamu wanavyo dai Vatican inavyo ongozwa. Kwa hiyo hauwezi kutaja uhusiano wetu na Vatican wkati tuna mahusiano pia na Iran na Saudi Arabia regardless of your personal feelings towards them. Hatuongelei mtu bali mifumo iliyopo nchini humo. Kuhusu Queen Elizabeth yeye ni mkuu wa the Church of England je hilo lina uhusiano gani na nilicho kisema?

Kuhusu Ujamaa I don't know what connection you are trying to make na mada lakini kwa kifupi ni hivi Tanzania tuliingia kwenye Ujamaa kama nchi. Ujamaa haikuwa wa watu fulani au maeneo fulani ya nchi. Kama pia una kumbuka Tanzania tuli kuwa moja ya "non aligned" states sasa kama una taka kuongelea kuhusu kunyimwa misaada that could be the case but hiyo ni nje ya mada.

Mkuu all I'm trying to do ni kuwa objective ila inaelekea linapo kuja maswala ya dini mtu ni aidha yupo upande wako au hayupo. Mimi natoa maoni yangu na mkuu japo nakuheshima I won't compromise what I think just so nionekani mtu fulani kila wakati kwako. I stand by my words kuwa bado sija sikia specifics za OIC bali broad terms tu.
 
Mwanafalsafa1,

Mkuu hujanikwaza isipokuwa lugha yangu ndio huwa nzito kwenu kwa sababu sikutegemea hata kidogo kama wewe unaweza kufananisha Saudia na Iran kuziweka kundi moja na Vatican..Na shukran sana ulitaka twende kwa hoja maanake hapa ndio nyumbani umefika... na karibu sana.

1. Umetoa sababu za kisheria kufananisha Vatican na Saudia kama ndio madai ya Waislaam. hakika huu sii ukweli ila labda umefikiria kuwa ndizo sababu kwani hakuna Muislaam anayejua sheria za Vatican ila sote Waislaam na Wakristu tunajua fika kwamba Saudia na Iran nin nchi zinazofuata sheria za Kiislaam.

Sasa tuzungumzie sheria.. Hizi ni laws ambazo zina kinga, kulinda na kuongoza Watu na Propeties zao. Sheria zinatoa mwongozo ktk utawala mzima kwa kuzingatia jadi, tamaduni, mila na desturi za wahusika ili kulinda maslahi ya watu wake iwe toka familia moja hadi nchi nzima na hata wewe nyumbani kwako unazo sheria zako..sheria pia zinalenga siasa, uchumi na jamii nzima kwa ujumla kwa kuzingatia uhuru na haki ya kila mmoja wao.

Hizi sheria haziundi muundo wa nchi husika na ukweli siku zote haufichiki kwani hiyo Iran ilikuwa nchi ya Kibapari chini ya Shah na ilikuwa nchi vile vile...Hii ina maana both Iran na hata Saudia wanaweza kuacha sheria hizi wakafuata sheria nyinginezo na zikabakia kuitwa nchi ya Saudia au Iran..Lakini Vatican haiwezi kufanya hivyo under any circumstances, laa sivyo itapotea..Kwa hiyo nitarudia kusema Vatican ni nchi ambayo inaongozwa na Taasisi ya kidini chini ya Pope..swala la Waislaam ni Taasisi hii kuwezeshwa lakini sii OIC.

2. Nilizungumzia Queen kusherehesha mfano wangu wa kiutawala kutohusiana na dini..Huyo Queen hata kama yeye ni mkuu wa kanisa la England haina maana yoyote ikiwa yeye sii a Church Clergy. Ni sawa na matunukio ya degree alizopata JK au hao King wa Saudia (Wahabis) na kina Ayatollah walivyokuwa crowned kwa sababu waliweza kuleta mapinduzi yaliyoleta Uhuru wa nchi zao. Hawa sii viongozi wa dini wanaoongoza nchi kwa misingi ya kidini.

Hivyo swala zima la uhusiano baina yetu na Vatican halihusiani kabisa na Ubalozi wetu isipokuwa mkataba wa kitaifa tuloingia na Taasisi ya Vatican kama ufunuo wa hoja ya Waislaam kwa nini hii OIC inakataliwa hali tumekwisha fanya hivyo kwa Wakristu na haikuwa big deal?..Kifupi Waislaam wametoa mfano baada ya nyie kukataa ombi lao, kinyume cha hapo kusinge kuwepo na hoja hii..

3. Ujamaa umeingia kwa msingi wa kukufahamisha kwamba tulikuwa Wajamaa kwa kufuata Ujamaa (Practice) - Hii ni itikadi ambayo huwezi kabisa kuifananisha na sheria au Sharia. Hata nchi za kiislaam zilikuwepo za kibepari na kijamaa na zilifanikiwa au kutofanikiwa kwa sababu ya siasa zake..

Kuwa non aligned haina maana ya Ujamaa wala itikadi isipokuwa ni kutofungamana na upande wowote wa vita baridi baina ya west na East. We chose not to join any side..Nchi zote non aligned zilikuwa aidha Mabepari au Wajamaa.

4. Mkuu maswala ya dini hunigusa tu pale naposhindwa kuelewa why kila waislaam wanapotaka kufanya kitu ni lazima kipitishwe na wakristu hali wao wanaweza fanya lolote pasipo kuulizwa. Na inazidi hunishangaza zaidi hasa hapa JF napoona wasomi kama nyie mnashindwa hata kujiuliza maswali kama haya..Na amini maneno yangu, siku ukisikia waislaam wanauliza jambo la Kikristu ni kwa sababu wamezuiwa wao kupata haki sawa na wenzao..

Mkuu, I do understand point zako zoote na wala sitaki ufikirie navyofikiria mimi hata kidogo bali kuwa at least reasonable. Jiulize mwenyewe hii OIC ni Association ya Waislaam like any Aid conference ambayo lengo lake ni kuwawezesha Waislaam wa Zanzibar. Kuna ubaya gani hata ikiwa inawalenga wao..hata wewe unaweza kuwa na conference na familia yako, ukamchagua mtu baina ya nduguzo na marafiki kumpa mtaji..

Jamani dini ni Imani kama mtu atalazimika kuingia Uislaam kwa sababu ya OIC basi huyo mtu hakuwa mkristu toka mwanzo.. Ndio maana nikatoa mifano ya NGOs zilizopo nchini. Zinafanya kazi zake na wanalitangaza jina la Mungu..We talking about billions and billions of dollar invested in these NGOs lakini mshipa hautugongi..

Churches zinajengwa kwa fedha za Vatican, hatuulizi kitu lakini ujengwe msikiti tu kesho utasikia wanataka kujua nani mfadhili na question za kisiasa zinapozuka... Haya yote yanatoka wapi jamani. Hivi kweli mnauchukia Uislaam kiasi hiki?

Mkuu wangu ni imani yangu kwamba Muislaam akibadilisha dini kwa sababu ya misaada ya walokole basi huyo hakuwa Muislaam toka mwanzo kwani Uislaam ni unatanguliwa na Imani..Na kila mmoja wetu muumini na asiyekuwa muumini wa dini anayo kila haki ya kufanya analotaka maadam havunji sheria na hakika Toka mtu moja, familia, kijiji hadi Taifa tutaweza kupata maendeleo tu ya kijamii ikiwa tunataweza ku embrace our differences na kila mmoja wetu kuheshimu individual freedom and rights sii kulazimisha kila kitu kiwe kama tunavyofikiria sisi na kwa manufaa ya wote kwa kutumia sheria ambayo hata kuitafsiri inatupa shida.
 
mzee umeongea point kabisa .swala lolote linalohusu uislam basi utaona baadhi ya watu wako very sensitive ,na hii yote ni kutokana kuwa brainwash na dikteta nyerere kwasbabu yeye ndie aliyeanzisha hii chokochoko za kipuuzi .OIC ni swala la SMZ na halihusu kwenye serikali ya muungano .let them join
 
Naona mnadivert mjadala bila sababu yoyote wakuu! Suala wazi hapa ni kwamba hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia kwa kisingizio cha misaada! Hao Waarabu watutajie nchi zilizofanikiwa kukua kiuchumi kwa kutegemea misaada! Wachukue mifano michache tu ya Uganda na Msumbiji! Zaidi ya hayo Katiba ya OIC inasema lengo la OIC ni kuuendeleza UISLAMU-sio habari ya misaada hapa! Waislamu msitufanye wajinga, mkiona OIC tamu hamieni Saud Arabia, Iraq, Syria au hata Somalia, tuachieni amani jamani!

Poole saana kaka... mlitesa saana,sasa ni wakati wetu.. tena nakuambia tutajiunga OIC mkitaka msitake,kadhi atakuwepo insh, na rasmi tunatangaza karibuni Rais wa znz ndio atakuwa vice president,pamoja na kuwekeana taratibu Rais wa muungano atakuwa kwa zamu baina znz na bara... mlitesa saana sasa tumeamka na watu wamejitolea kwa hili,na insh litakuwa...
 
Mkandara..nikupongeze sana kwa mchango wako mzuri sana. Najuwa umeandika kwa uchungu mno.

Tatizo la hwa wenzetu ni Uchoyo to. Wamekuwa wabinafsi sana na wanaona kama wao ndio wana hati miliki zote za Maendeleo, ustaarabu, N.K.

Choyo na ubinafsi wao ndio kinachowasumbua..wanaona Tanzania ikiingia OIC watapata misaada ya Elimu na uchumi. Wanadhani kama hivyo ndio chachu ya maendeleo. Wanashindwa kuainisha ni nchi ngani zimesilimishwa kwa kujiunga na OIC.
 
Kwanza unavyo mchukulia sultani wa Saudi Arabia au Ayatolah wa Iran haina mantiki yoyote kwa maada. Point yangu ni kwamba nchi hizi zinaongozwa kwa misingi ya dini kama Waislamu wanavyo dai Vatican inavyo ongozwa. Kwa hiyo hauwezi kutaja uhusiano wetu na Vatican wkati tuna mahusiano pia na Iran na Saudi Arabia regardless of your personal feelings towards them. Hatuongelei mtu bali mifumo iliyopo nchini humo. Kuhusu Queen Elizabeth yeye ni mkuu wa the Church of England je hilo lina uhusiano gani na nilicho kisema.

Hapo ndipo nikiangalia upande wenu ndo naona vichwa maji kama mimi mwenyewe,,uhusiano na iran ni wa nchi kwa nchi,uhusiano na saudia ni wa nchi kwa nchi, uhusiano na italy ni nchi kwa nchi,sasa vatican imo ndani ya italy,inakuwaje tuwe na uhusiano wa kibalozi,mbona sisi hatuna uhusiano na Makka?
 
sio lazima serikali ilete hiyo move ya kujiunga na jumuiya hiyo, hata mbunge anaweza kupeleka hoja binafsi bungeni, hivyo kulalamika ni ujanja tu wa kisiasa!
 
....defenders wa OIC bado hamja-hit point-mnataka kuingia OIC just for misaada? kama Zanzibar na kama JMT tupo kwenye jumuia lukuki (IMF, WB, ADB, SADC, etc etc etc etc) kwa ajili ya misaada,so far tupo wapi? kama mna mentality ya kutafuta wajomba wa kutukwamua kwa misaada-shame on you!!! tufanyeni kazi, tutumie hizo jazba na nguvu kupinga ufisadi na mifumo ya kifisadi nchini!! i dont think OIC can make anything new zaidi ya kujiridhisha kiimani tu! waislam mna declaration nyingi sana za kuusambaza uislam (Abuja declaration etc) so hizi ishu za OIC, Kaadh courts etc ni implementation ya hizo maazimio. tunakula nyama zilizochinjwa kwa kufuata kibra...hamtosheki? mmeleta Sharia bank account...hamtosheki? hijab mashuleni...hamtosheki?. kuna mdada wa kiislamu Tanga alinieleza kwamba,wameambiwa kila mdada wa kiislamu akifanikiwa kumsilimisha mkaka anapata mtaji wa biashara...what is this? Kenya mmeua raia saba kwa motor grenades kuwatisha watu wapitishe mambo yenu.... mbona mnafanya dunia iwe chungu kukalika!!! i wish to take you to another planet and leave our World so peaceful.
 
Iweje mjiunge kwenye jumuiya zote hizo lkn mkatae OIC, then ni muongo kwa maneno ulozungumza ya huyo dada,unajaribu kupamba hoja zako,kwa maneno ya upuuzi tu, PoolE kaka,kikubwa mna wasi wasi na kina mazinge maana kila kukicha wanawasilimisha jamaa,sasa watu wakiona ukweli wasije huku kwenye hakki,wewe baki kung'ang'ania tu huko.. Na nyinyi mmetuletea benk za kikafiri,tumenyemaza kimya,mumetuletea balozi wa papa wenu,tumenyamaza kimya,iweje leo tukitaka letu mnalipinga...
 
Hapo ndipo nikiangalia upande wenu ndo naona vichwa maji kama mimi mwenyewe,,uhusiano na iran ni wa nchi kwa nchi,uhusiano na saudia ni wa nchi kwa nchi, uhusiano na italy ni nchi kwa nchi,sasa vatican imo ndani ya italy,inakuwaje tuwe na uhusiano wa kibalozi,mbona sisi hatuna uhusiano na Makka?

Hivi Lesotho iko ndani ya South Africa je kunaifanya iwe ni South Africa?
 
Hivi watu wanajua kuwa Somalia ni mwanachama wa OIC? imefaidikaje? Afghanistani ni mwanachama, Chad ni mwanachama.. aidha tujiunge sababu ya principle na si sababu ya misaada. Kujiunga kwa sababu ya misaada ni kujiona duni kweli.
 
Hapo ndipo nikiangalia upande wenu ndo naona vichwa maji kama mimi mwenyewe,,uhusiano na iran ni wa nchi kwa nchi,uhusiano na saudia ni wa nchi kwa nchi, uhusiano na italy ni nchi kwa nchi,sasa vatican imo ndani ya italy,inakuwaje tuwe na uhusiano wa kibalozi,mbona sisi hatuna uhusiano na Makka?

Hapo na wewe ndiyo unakuwa kichwa maji TANZANIA HAINA UBALOZI VATICAN. Makka haina balozi za nchi yoyote sasa uta linganishaje? My goodness.
 
Poole saana kaka... mlitesa saana,sasa ni wakati wetu.. tena nakuambia tutajiunga OIC mkitaka msitake,kadhi atakuwepo insh, na rasmi tunatangaza karibuni Rais wa znz ndio atakuwa vice president,pamoja na kuwekeana taratibu Rais wa muungano atakuwa kwa zamu baina znz na bara... mlitesa saana sasa tumeamka na watu wamejitolea kwa hili,na insh litakuwa...

Kama BAKWATA itajiunga na OIC (maana inaonekana "mmeolewa" na Waarabu, sio bure) na mambo ya Kadhi (ambayo mmedai ni sehemu ya IBADA ya Waislamu) yatakuwa nje ya mfumo wa Serikali ambayo ni ya wote na sio waislamu pekee hakuna atakayekuwa na neno kabisa! Huo ndio uhuru wenu wa kuabudu Waislamu, hata kama mtabweka usiku kucha!
 
1. Umetoa sababu za kisheria kufananisha Vatican na Saudia kama ndio madai ya Waislaam. hakika huu sii ukweli ila labda umefikiria kuwa ndizo sababu kwani hakuna Muislaam anayejua sheria za Vatican ila sote Waislaam na Wakristu tunajua fika kwamba Saudia na Iran nin nchi zinazofuata sheria za Kiislaam.

Sasa tuzungumzie sheria.. Hizi ni laws ambazo zina kinga, kulinda na kuongoza Watu na Propeties zao. Sheria zinatoa mwongozo ktk utawala mzima kwa kuzingatia jadi, tamaduni, mila na desturi za wahusika ili kulinda maslahi ya watu wake iwe toka familia moja hadi nchi nzima na hata wewe nyumbani kwako unazo sheria zako..sheria pia zinalenga siasa, uchumi na jamii nzima kwa ujumla kwa kuzingatia uhuru na haki ya kila mmoja wao.

Hizi sheria haziundi muundo wa nchi husika na ukweli siku zote haufichiki kwani hiyo Iran ilikuwa nchi ya Kibapari chini ya Shah na ilikuwa nchi vile vile...Hii ina maana both Iran na hata Saudia wanaweza kuacha sheria hizi wakafuata sheria nyinginezo na zikabakia kuitwa nchi ya Saudia au Iran..Lakini Vatican haiwezi kufanya hivyo under any circumstances, laa sivyo itapotea..Kwa hiyo nitarudia kusema Vatican ni nchi ambayo inaongozwa na Taasisi ya kidini chini ya Pope..swala la Waislaam ni Taasisi hii kuwezeshwa lakini sii OIC.

Sasa hapa mkuu ukirudi nyuma una support point yangu ile ile. Nilisema tokea mwanzo kwamba Waislamu ikija swala la OIC wanailinganisha na sisi kuwa na mahusiano na Vatican lakini wewe hapa mwenyewe umesema OIC ni taasisi sasa kwa nini baadi ya Waislamu wana tumia hoja ya Tanzania kuwa na mahusiano na Vatican ambapo wana ubalozi Tanzania na OIC? Hauoni hapo you just proved my point?

2. Nilizungumzia Queen kusherehesha mfano wangu wa kiutawala kutohusiana na dini..Huyo Queen hata kama yeye ni mkuu wa kanisa la England haina maana yoyote ikiwa yeye sii a Church Clergy. Ni sawa na matunukio ya degree alizopata JK au hao King wa Saudia (Wahabis) na kina Ayatollah walivyokuwa crowned kwa sababu waliweza kuleta mapinduzi yaliyoleta Uhuru wa nchi zao. Hawa sii viongozi wa dini wanaoongoza nchi kwa misingi ya kidini.

Hivyo swala zima la uhusiano baina yetu na Vatican halihusiani kabisa na Ubalozi wetu isipokuwa mkataba wa kitaifa tuloingia na Taasisi ya Vatican kama ufunuo wa hoja ya Waislaam kwa nini hii OIC inakataliwa hali tumekwisha fanya hivyo kwa Wakristu na haikuwa big deal?..Kifupi Waislaam wametoa mfano baada ya nyie kukataa ombi lao, kinyume cha hapo kusinge kuwepo na hoja hii..

Sasa hapa sielewi mkuu. Vatican kwako ni NCHI au TAASISI? Uta linganishaje Vatican na OIC? I think kabla hatujaendelea tujadiliane na kukubaliana definition ya neno "taasisi" maana hapa tuta changanyana. Tafsiri ya neno taasisi ni nini na ni sifa gani za Vatican zinzo ifanya taasisi? Je umesha wahi kusikia maishani mwako taaisisi ikawa na ardhi (territory) au uwakilishi? Kuongozwa na "taasisi" ya kidini haifanyi sehemu kuwa nchi kwa maana hata tanzania inaongozwa na taasisi ya raisi kama Iran inavyo ongozwa na taasisi ya Ayatollah au Saudi kutawaliwa na taasisi ya Kisultan kama una taka kufuata mlolongo huo wa mawazo.

4. Mkuu maswala ya dini hunigusa tu pale naposhindwa kuelewa why kila waislaam wanapotaka kufanya kitu ni lazima kipitishwe na wakristu hali wao wanaweza fanya lolote pasipo kuulizwa. Na inazidi hunishangaza zaidi hasa hapa JF napoona wasomi kama nyie mnashindwa hata kujiuliza maswali kama haya..Na amini maneno yangu, siku ukisikia waislaam wanauliza jambo la Kikristu ni kwa sababu wamezuiwa wao kupata haki sawa na wenzao..

Mkuu, I do understand point zako zoote na wala sitaki ufikirie navyofikiria mimi hata kidogo bali kuwa at least reasonable. Jiulize mwenyewe hii OIC ni Association ya Waislaam like any Aid conference ambayo lengo lake ni kuwawezesha Waislaam wa Zanzibar. Kuna ubaya gani hata ikiwa inawalenga wao..hata wewe unaweza kuwa na conference na familia yako, ukamchagua mtu baina ya nduguzo na marafiki kumpa mtaji...........

Mkuu hili ndiyo swala langu kuu na ndiyo swala hautaki kuelewa. Kama swala ni la dini tu na kunufaisha dini fulani hiyo siyo neno. Lakini utaniambiaje nchi inaingia kwenye mkataba kama nchi lakini affect ni kwa jamii moja tu? Kama swala ni la "WAISLAMU WA ZANZIBAR TU" kwa nini nchi nzima inaingia? Kwani Zanzibar ni Waislamu tu? Na hiyo mfano wako wa familia haimake sense maana hiyo familia haita affect mtu mwingine zaidi ya familia lakini narudia hauwezi kuingiza nchi kwenye mkataba wa kimataifa useme itawa gusa watu wa dini fulani tu.

Sasa tatizo mtu akiongea ambayo si Muislamu basi Muislamu anaona ni udini. Kwa hiyo hapa hata nitoe hoja gani Mkandara huto sikiliza na uta tafuta tu maneno around it. I am being open to this ndiyo maana tokea post yangu ya kwanza nikasema sipingi swala la OIC moja kwa moja bali nataka kusikia hoja. Mpaka sasa tokea kwako sija sikia hoja bali defensive words tu. Anyway najua this issue ni touchy kwako na wala nia ya post yangu haikua kujaribu kukubadili mawazo, you can hold on to your beliefs. Ila kuna majukwaa una takiwa utambue kuwa mtu unatakiwa uwe objective na kuto kuwa defensive. So haina shida sana sisi kugombana mpaka kesho wakati mimi sina nguvu ya kukataa wala kukubali ombi lako.
 
tatizo letu ni wepesi wa kulalama kuliko kufikiria na kutoa muongozo,
hasa watu anao jiita kuwa ni wazanzibar, jopo kubwa la hawa watu ni maamuna wa kila kitu,
katiba ya hiki kitu OIC kitu cha kwanza wanachota taka kwa mwanachama ni nchi yenye kuongozwa kwa sharia za dini za ya Kiislamu, sasa kwa hapa kwetu hata mjinga ataona hili jambo linatufaa ama la!
kwa kweli kwa Tanzani kuipeleka huko ni upuuzi wafuasi wenyewe hata tukiwatengea mkoa wao peke yake hata wilaya ya Chunya basi ni kubwa, tusikurupuke tu, na haya mambo ya kishetani maana jumuiya zingine ni za kipepo kabisa.
 
MR BUCHA wewe kweli mnafiki yaani wewe umechukua one the part of the katiba alfu umeitfsiri unafyotka mwenyewe ,mbona hivi vipengele umeviacha
"Exert efforts to achieve sustainable and comprehensive human development and economic well-being in Member States"

""Enhance and develop science and technology and encourage research and cooperation among Member States in these fields;"

hiyo hofu unayosema wewe kwamba utalazimishwa kuingiya kwenye uislam haitawezakana kutoka na katiba hiyo hiyo imegusia vipengele hivi hapa hebu soma hapo chini instead scaremongering peoples .au wewe kichwa maji

All Member States commit themselves to the purposes and principles of the United Nations Charter;

member States are sovereign, independent and equal in rights and obligations;

All Member States shall settle their disputes through peaceful means and refrain from use or threat of use of force in their relations

all Member States undertake to respect national sovereignty, independence and territorial integrity of other Member States and shall refrain from interfering in the internal affairs of others;
  • Member States shall uphold and promote, at the national and international levels, good governance, democracy, human rights and fundamental freedoms, and the rule of law.
wewe ndio wale mlokunywa maji ya bendera ya nyerere .hili swala la zanzibar sio tanganyika wache wazenji waamue watakavyo.

Naona una chuki ya kufa mtu dhidi ya Nyerere! OIC kuwa na malengo mengine haimaanishi hata kidogo kwamba lengo mojawapo si kuendeleza uislamu! Haya maandishi hayajaandikwa na Nyerere bali Waislamu wenyewe: "...to foster noble Islamic values concerning moderation, tolerance, respect for diversity, preservation of Islamic symbols and common heritage and to defend the universality of Islamic religion."
Na hizo nchi ambazo unadai hazijalazimishwa kujiunga na uislamu inaonesha you are simple minded, ulifikiri kwamba uislamu utaingia kwa mara moja?
Na kama Waarabu wana nia njema na sisi watumwagie hayo mafungu badala ya kufadhili ugaidi ili tujenge barabara, hospitali, zahanati, shule , nk.
Ok, tuambie basi hizo nchi zilizojiunga na Jinamizi la OIC zimemaliza umaskini? Tupe mifano ya Somalia, Uganda, Mozambique, etc, to say the least!
 
Sasa hapa mkuu ukirudi nyuma una support point yangu ile ile. Nilisema tokea mwanzo kwamba Waislamu ikija swala la OIC wanailinganisha na sisi kuwa na mahusiano na Vatican lakini wewe hapa mwenyewe umesema OIC ni taasisi sasa kwa nini baadi ya Waislamu wana tumia hoja ya Tanzania kuwa na mahusiano na Vatican ambapo wana ubalozi Tanzania na OIC? Hauoni hapo you just proved my point?
Mkuu pengine nazungumza lugha usoifahamu..Vatican ni Taasisi ambayo imeunda nchi ndani ya Italy..Labda nikuulize wewe kwa nini Vatican hakuna watoto wanaozaliwa? Kwa nini raia wa Vatican ni wazawa toka nchi tofauti duniani ambao uraia wao unatokana vyeo vyao ktk dini ya Katoliki..Au labda nambie wewe hao raia wake wanazaliana vipi? na pengine nijulishe kama wapo raia wasiohusiana kabisa na Kanisa! maanake nijuavyo mimi Vatican ni Taasisi iliyopewa au chukua eneo na kulifanya nchi ya utawala wa kanisa hilo.

Mkuu wangu tusibishane ili mradi kubishana kwa sababu swala la kuita nchi ni mfumo tu tuloweka sisi na umekubalika..Hata Macca wakiamua kuifanya nchi wanaweza ingawa najua fika itakuwa kaazi kubwa na wala sii utaratibu unaokubalika kiislaam. hivyo haiwezekanai kidini lakini kidunia inawezekana na ikakubalika.

Nitarudia kusema kama hakuna Taasisi ya Katoliki nchi hiyo haipo..hakuna vyama wala wananchi wanaozaana kujenga jamii hiyo. Hata wewe kesho unaweza kuwa raia wa Vatican pengine Pengo ana ganda la Vatican na kama hanaipo siku atakuwa..hakuzaliwa wala hana asili yoyote ya uzawa wala kuishi....who knows!

Sasa hapa sielewi mkuu. Vatican kwako ni NCHI au TAASISI? Uta linganishaje Vatican na OIC? I think kabla hatujaendelea tujadiliane na kukubaliana definition ya neno "taasisi" maana hapa tuta changanyana. Tafsiri ya neno taasisi ni nini na ni sifa gani za Vatican zinzo ifanya taasisi? Je umesha wahi kusikia maishani mwako taaisisi ikawa na ardhi (territory) au uwakilishi? Kuongozwa na "taasisi" ya kidini haifanyi sehemu kuwa nchi kwa maana hata tanzania inaongozwa na taasisi ya raisi kama Iran inavyo ongozwa na taasisi ya Ayatollah au Saudi kutawaliwa na taasisi ya Kisultan kama una taka kufuata mlolongo huo wa mawazo.
Vatican ni Taasisi iliyochukua eneo muhimu la kidini toka mji wa Rome na kuifanya nchi ili Pope aweze kuongoza dunia ya Kikatoliki..Hapa ndipo wanapoweza ku control makanisa yote duniani
na wafuasi wake ambao hata wewe pamoja na kuwa Mtanzania unashirikishwa ktk policies and authority of the papacy popote ulipo..
ifupi, Vatican wanaishi viongozi wa dini na raia wake ni waumini wote wa kanisa katoliki sehemu yoyote duniani....Go figure!

Mkuu hili ndiyo swala langu kuu na ndiyo swala hautaki kuelewa. Kama swala ni la dini tu na kunufaisha dini fulani hiyo siyo neno. Lakini utaniambiaje nchi inaingia kwenye mkataba kama nchi lakini affect ni kwa jamii moja tu? Kama swala ni la "WAISLAMU WA ZANZIBAR TU" kwa nini nchi nzima inaingia? Kwani Zanzibar ni Waislamu tu? Na hiyo mfano wako wa familia haimake sense maana hiyo familia haita affect mtu mwingine zaidi ya familia lakini narudia hauwezi kuingiza nchi kwenye mkataba wa kimataifa useme itawa gusa watu wa dini fulani tu.

Sasa tatizo mtu akiongea ambayo si Muislamu basi Muislamu anaona ni udini. Kwa hiyo hapa hata nitoe hoja gani Mkandara huto sikiliza na uta tafuta tu maneno around it. I am being open to this ndiyo maana tokea post yangu ya kwanza nikasema sipingi swala la OIC moja kwa moja bali nataka kusikia hoja. Mpaka sasa tokea kwako sija sikia hoja bali defensive words tu. Anyway najua this issue ni touchy kwako na wala nia ya post yangu haikua kujaribu kukubadili mawazo, you can hold on to your beliefs. Ila kuna majukwaa una takiwa utambue kuwa mtu unatakiwa uwe objective na kuto kuwa defensive. So haina shida sana sisi kugombana mpaka kesho wakati mimi sina nguvu ya kukataa wala kukubali ombi lako.
Hapa ningeweza kukuelewa kama Tanzania tusingeingia mkataba na Vatican kwa faida ya waumini wa dini hiyo.... Mkataba huo una waacha waumini wa dini zoote nyinginezo na hakika sitegemei Vatican watoe misaada pasipo kujali maslahi ya kile wanachokifundisha...Mkataba wa OIC unahusu nchi moja tuloungana nayo pamoja na raia wake wakiwemo Wakristu na hata Baniani. kwamaana hiyo wakristu WaZanzibar watafaidika pia na misaada hiyo ya kiuchumi badala ya misaada ya kujenga msikiti na madrasa inayotolewa na Watanzania wenyewe..

Na kibaya zaidi basi kabla ya Muungano Zainzibar ilikuwa na asilimia 99.9 Waislaam wakaturuhusu sisi (Wabara) kujiunga nao.. Huku Bara sii nchi ya Wakristu lakini imechukuliwa kama kwamba Bara ni nchi yenu na zanzibar ya Waislaam hali ukweli na historia inajieleza wazi kwamba Bara ni nchi ilokuwa na dini hizi mbili sawa..Tena basi Uislaam uliingia bara kabla hata ya Ukristu.. Sasa sielewi tunakwenda wapi katika kujadili hoja hii. Tunazungumzia nchi yetu kupata misaada toka Taasisi hii au tunazungumzia nchi moja kutupa misaada..maanake misaada ya Vatican yote inatolewa na Taasisi..Hoja yako haswa ni ipi katika hili?..

Labda nikuulize wewe kitu kingine... mbona hamkuuliza maswali haya tulipojiunga na IMF? hawa wanatoa misaada lakini wanalenga baadhi ya watu, maeneo na hata investment ambazo Watanzania wengi hatuoni hata hayo mafanikio yake.. Je, ikiwa swala ni kujiuliza misaada hii inalenga watu gani why can't we ask these questions..

Mfano wa familia, mkuu wangu kila kitu kina Udogo wake.. Tunapozungumzia Tanzania tunaanza na mtu mmoja, familia, ukoo, kabila, nasaba, makabila ya wilaya na Mikoa hadi tunafikika Kitaifa. Hawa ndio wanajenga nchi kwa ukubwa unaoufahamu wewe. Jambo moja la wilaya au mkoa mmoja haliwezi kuwa na hesabu sawa ya madhara kulinganisha na Taifa ili lipewe umuhimu...haiwezekani! Tunachotazama hapa ni haki na Uhuru wa kila Mtanzania (individual freedom and rights za kila Mtanzania) na sio hesabu ya wanaofanikiwa. Ni haki yako wewe kupiga kura kama Mtanzania na mwenye umri unaloruhusiwa na kwa mapana yake Watanzania wote wenye umri wa kupiga kura wanayo haki na Uhuru sawa na wewe wa kufanya hivyo. Kura moja unaweza kuiona haina faida lakini ndio mchango mkubwa wa demokrasia kusimama. CCM wanapozuia wananchi wa Pemba au Zanzibar kujiandikisha ktk daftari la kura ni uvunjaji wa haki na freedom ya wananchi hao hata kama wapo wawili au 2,000..

Mkuu wangu mimi hata siku moja sina ugonvi na Waumini wa Kikristu isipokuwa ni hoja ya mtu huyo inapokuwa nje ya ukweli..Nimebishana sana na Waislaam humu ambao wengine wameniita Mkristu katika maswala mengi tu. Na hakika background yangu imezungukwa na Wakristu wengi zaidi ya Waislaam kwani Uislaam ni imani ktk kuabudu Mungu haihusiani kabisa na mtazamo wangu ktk haki au freedom ya wahusika..Hivyo, sii kweli kabisa hoja zangu zinatokana na wewe kutokuwa Muislaam waa sijui kama wewe sii Muislaam isipokuwa najibu hoja zako kulingana na yale uloandika.

Hapana mkuu wangu, Udini unatokana na tafsiri ile ile ya kubagua watu.. Unapozungumzia Waislaam hivi ama vile kwa chuki ya jambo lolote lenye mafanikio kwa watu hao ndipo Udini unapoingia..Nimeona watu hapa wakituita sisi waarabu, tusokuwa na akili, hatukusoma na kadhalika ili mradi wanajifurahisha wao na kujiona superior.. Hapo ndipo unapoingia Udini..Mimi siwaelewi kama Ukristu ni Uzungu au kitu gani kwani hata hao Wataliani wenyewe asili yao imo zaidi ktk Uarabu kuliko hata kina matumbi sisi..

Lakini yote haya nimeyaacha kuyazungumzia isipokuwa Hoja ya swala hili. I have said it before kwamba nawapongeza sana Wakristu kwa jinsi walivyojipanga ktk kuendeleza jamii yao na hakika ningependa sana jamii (dini) nyinginezo zifuate mfano wenu katika yale yanayokjubalika ktk imani zao..

Na nitasema kitu kingine kwamba Wazungu hawa tunaowatukana kila siku binafsi huwaona wanafanya mema na ya ibada kubwa kwa mwenyezio Mungu kuliko sisi Waafrika tunaoamini Mungu kwa kukiri na kubaini kwa ulimi hali matendo yetu ni ya kinafiki. Kaitika Uislaam Unafiki ni moja ya dhambi kubwa sana ambazo zinamwondoa mtu ktk dini.. meaning mtu yeyote Mnafiki sii Muislaam isipokuwa Muislaam jina. Hivyokila napoona Mnafiki awemktistu au Muislaam kwangui huyu mtu kapoteza dini yake.

Oooh! by the way sijasema wewe Mnafiki ila nimezungumzia tu kukufahamisha navyo itazama imani ya dini iwe kwa MKikristu au Muislaam.
 
....defenders wa OIC bado hamja-hit point-mnataka kuingia OIC just for misaada? kama Zanzibar na kama JMT tupo kwenye jumuia lukuki (IMF, WB, ADB, SADC, etc etc etc etc) kwa ajili ya misaada,so far tupo wapi? kama mna mentality ya kutafuta wajomba wa kutukwamua kwa misaada-shame on you!!! tufanyeni kazi, tutumie hizo jazba na nguvu kupinga ufisadi na mifumo ya kifisadi nchini!! i dont think OIC can make anything new zaidi ya kujiridhisha kiimani tu! waislam mna declaration nyingi sana za kuusambaza uislam (Abuja declaration etc) so hizi ishu za OIC, Kaadh courts etc ni implementation ya hizo maazimio. tunakula nyama zilizochinjwa kwa kufuata kibra...hamtosheki? mmeleta Sharia bank account...hamtosheki? hijab mashuleni...hamtosheki?. kuna mdada wa kiislamu Tanga alinieleza kwamba,wameambiwa kila mdada wa kiislamu akifanikiwa kumsilimisha mkaka anapata mtaji wa biashara...what is this? Kenya mmeua raia saba kwa motor grenades kuwatisha watu wapitishe mambo yenu.... mbona mnafanya dunia iwe chungu kukalika!!! i wish to take you to another planet and leave our World so peaceful.
Assalaam alaykum.Ndugu zangu mutanisameh,ilikuwa sijaona kishindo cha hapa.Unajuwa tena nimeshughulika sana na safari yangu ya mwezini.Hata hivyo nimepata muda kusoma huu uongo wa huyu bwana.
Kitu kama hicho sijapata kusikia kwa waislamu.Mara nyingi hiyo huwa ni mikakati ya wakristu,nimesikia sana ikifanyika maeneo ya same kuwatoa waislamu katika dini yao.Sisi waislamu hatuchezi rafu kama hizo.Hoja za kitabu chetu ndizo zinafanya kazi hiyo ya kuwasilimisha wakristo.
Nakumbuka Tanga alikuwepo kiongozi mmoja wa taasisi ya kiislamu ambaye kwa pesa itokanayo na mfano wa misaada ya OIC alikuwa akienda vijiji mbali mbali kwenye waislamu na wakristo na kuchinja wanyama ili watu angalau waonje kitoweo hicho ambacho wengi kwa umaskini hushindwa kukipata.Huyu sheikh kwa uchoyo wa wakristo unaoongozwa na wafadhili wao akatafutiwa visingizio akafukuzwa na kudhalilishwa vibaya.Matokeo ya hili ni kuwa waislamu sasa wakitaka kula vitu vizuri kama nyama basi itoke mikononi mwa wakristo tu,na hawana uadilifu wa kuliendeleza hilo.Hii ni rafu mbaya katika kutangaza dini.
 
Back
Top Bottom