Swaga za walevi katika mapenzi huwa zinawapa faraja sana wapendanao ukilinganisha na swaga za watumia juisi

Mm nmeka pande zote mbili, nlianza juice nkaja pombe sahiz nmerdi kwenye juice,

Ilikua nikilewa kiasi fulani hata mwanamke awaje nikimpiga saundi lazima aelewe sikumbuki ka nimewahi feli.
Watu walikua wanamendea wadada wakichelewa kidogo tu ikolee basi kwisha hbr yao.
Nikiwa free nlikua siwezi kabisa kuongea kwa kweli.
By that time pombe ilikua inasaidia mgegedo unaenda muda mrefu Vzr but siku ukigegeda bila kustua round inakua fupi sana.
Kwa hiyo nkajifunza pombe inapunguza nguvu za kiume ili uwe na nguvu lazima uwe stimu jambo la pili niligundua matumizi ya pombe sio mazuri maana saa zingine umelewa asbh unastuka salama (kinga) bado mpya zipo kwenye packet mfukoni lkn mmelala bila nguo wote!!!
Nmerudi kwenye juice sitegemei kurudi kwenye pombe nmepona chupu chupu sn maradhi na ajali.
Nashauri niungeni mkono tutoke huko kabisa ni hatari!
 
Back
Top Bottom