Swaga za walevi katika mapenzi huwa zinawapa faraja sana wapendanao ukilinganisha na swaga za watumia juisi

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
28,811
39,046
Swaga za walevi katika mapenzi huwa zinawapa faraja sana wapendanao ukilinganisha na swaga za watumia juisi. Wakishalewa tu utapewa majina yote ya mahaba ya kizungu....na namna wanavyoyataja unaweza kuhisi labda uko peke yako katika hii dunia.Vipi wakuu, mlishakutana na hiyo hali?
partn.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom