Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,886
- 1,194
Rangi ya kiarabu hiyo!Kwa hakika JK kapendeza ila nadhani rangi tu ndio imekaa kushoto ila katoka ile mbaya.
Rangi ya kiarabu hiyo!Kwa hakika JK kapendeza ila nadhani rangi tu ndio imekaa kushoto ila katoka ile mbaya.
huyo makamu wa rais kuna siku atafia njiani hali gani iyo aliyonayo looh
U-handsome unatusaidia nini sisi. Wakati mwingine huwa naona kichefuchefu kusoma habari zonazohusu u-handsome wa mkwerre. Watanzania tunaendekeza mambo hata yasiyo na mbele wala nyuma. Kama ni uzuri wa sura inatufaidia nini sisi!! Ptuuuuuu!!!!"Kwa kweli kama u-handsome ungekuwa ndio kigezo cha kuipeleka nchi paradiso, tungekuwa na raha sana maana saa hii nji hii ingekuwa inaelea kwenye maraha, afya bora, maisha bora, elimu bora kwa kila m-tz. Lakini imekuwa kinyume! Ee mola tuone watu wako.
Wakuu wetu bana!
ni yupi kati yao mwenye confidence? oaoa
Unaposema suti iliyozusha mjadala unamaana moja ya zile suti mkweree alizopewa na waarabu? Lakini kama ni hivyo hapa mbona hajavaa suti?
duhhhhhhh
hapo nimeona Jacket la suti..
Hii bora hata angekataa rangi haiendani nae kabisa...
Hata mtoto wa mkulima kapendeza
He has two wives..if it has anything to do with your description of his looks.na huyo babu kushoto kwa mkulu ndo nani? mbona kama anataka kujifia vile!!!1
Rais nkachemka, yan katupia kitu cha kachumbari ...ahhaahhaha