Suti iliyozusha mjadala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suti iliyozusha mjadala

Discussion in 'Jamii Photos' started by Babylon, Nov 4, 2011.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  na huyo babu kushoto kwa mkulu ndo nani? mbona kama anataka kujifia vile!!!1
   
 3. tatizomuda

  tatizomuda Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ha ha ha naona anazidi kwisha tu huyo wa kushoto na yule wa nyuma naona tumbo linazidi kutangulia mwili unamuacha,hawana amani tena siku zao zinahesabika
   
 4. D

  Derimto JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyo babu ni RC. Wa Dar kama sikosei anaitwa Meck Sadik pia yupo DR. Mtaalamu Wa Nuclear Gharib Bilal namwona pia mama salma, pinda, membe,kova kama kawa kwa nyuma kule na mabodygurd wengine na waandamizi wachache.
   
 5. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Suti ipi? Mjadala ulihusu nini hasa(rangi ya suti au?) Ulifanyika wapi? Lini? Nani wadau wa mjadala?
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,212
  Likes Received: 4,009
  Trophy Points: 280
  Huyo ni makamu wa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Gharib Bilal
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,053
  Trophy Points: 280
  Suti ya Mwakyembe ndo iliwekwa sumu
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,200
  Likes Received: 1,598
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Sasa unamaanisha hapo kuna mtu kaazimwa suti na mwakyembe?
  Muacheni handsome wetu,it was worth it. Kapendeza,lol

   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,415
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  Unaposema suti iliyozusha mjadala unamaana moja ya zile suti mkweree alizopewa na waarabu? Lakini kama ni hivyo hapa mbona hajavaa suti?
   
 10. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ila imemkaa hata ingekua wewe usingechomoa...
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,087
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  duhhhhhhh
  hapo nimeona Jacket la suti..
  Hii bora hata angekataa rangi haiendani nae kabisa...
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  alomchagulia alaumiwe
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,087
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  dahhh
  abarikiwe bana ..
   
 14. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kikwete ana portray confidence
  Wa kushoto ana portray submission
  Wa kulia kama mgonjwa vile
  Pinda ye kama kapinda hajui kitu gani inaendelea
  Salma, proud of her hubby
  Huyo dingi kipara ana portray jealousy
  Lile njagu kwa mwisho linachekelea posho

  Wazeiya mmecheck hizo sofa?
   
 15. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,952
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Ni mtaalamu wa mambo ya Nyuklia!
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa hakika JK kapendeza ila nadhani rangi tu ndio imekaa kushoto ila katoka ile mbaya.
   
 17. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli kama u-handsome ungekuwa ndio kigezo cha kuipeleka nchi paradiso, tungekuwa na raha sana maana saa hii nji hii ingekuwa inaelea kwenye maraha, afya bora, maisha bora, elimu bora kwa kila m-tz. Lakini imekuwa kinyume! Ee mola tuone watu wako.
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,839
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wakuu wetu bana!
  ni yupi kati yao mwenye confidence?
  :poa:poa
   
 19. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 160
  tuache masihalllllaaah jamani, MAKAMU WA RAIS NI MZEE, mie naona hata nguvu za mwili zinamwishia. NI vizuri apumzike jamani
   
 20. M Mahona

  M Mahona Senior Member

  #20
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni Pinda tu ndo mwenye comf
   
Loading...