Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,492
- 145,850
Sperm sio mbegu bwana, hakuna mbegu kwa wanyama ni mimea tu. Na Mbegu hupatikana baada ya fertilization na moja ya tabia muhimu ya Mbegu ni kuweza kuota. Sasa sperm ukiiacha peke yake haiwezi kuleta kiumbe chochote kama vile ovum ikiwa peke yake ni nothing.
man.ii nadhani ni siemen
sperm mbegu ya kiume
sayansi kimu la tano hii?
sina wasi wasi na tekinolojia itakayotumia, am happy
sina tatizo na nafsi yangu, kwamba dini inanikataza, nina amani na Mungu wangu
nachosumbuka ni hisia, huu ujauzito jinsi ya ku-uhandle, kuweza kukonnect na mtoto akiwa tumboni.
Najua siku hizi kuna hormones za kunywa maziwa yatoke, sina wasi wasi na kunyonyesha pia.
Ila nahisi surrogate mother atasumbua, mabibi wote wawili wako above 60, so hawataweza beba ujauzito.
Hivi wifi anaweza kufanyia kazi hii? Au ndo yatakuwa masimango kila siku?
he he he, we all learn something new everyday
So...somebody is carrying that stuff for you! Why dont you carry it yourself? Au mambo ya kimwili hayaruhusu....
Mhm! Wifi atakuzingua, mi nakushauri utafute mtu wa nje ta TZ kwani hata hiyo process yenyewe si inafanywa nje mfano unaenda kufanya process S.Africa then na gestation carrier unamtafuta hukohuko, so that mtoto akizaliwa tu na ndio mwisho wa kuonana naye.
Someone close to me needs that help
Nilikuwa najaribu kuangali how we can all deal with it
Mwili wake hauruhusu kubeba mtoto, ametibiwa hadi basi, imeshindikana
Hiyo ndio option ilobaki
What happened to "Mtazaa kwa uchungu"? MONEY CAN BUY YOU HAPPINESS!!!!!!!!!!
I may be too late to this uzi but usually to aviod 'emotional' problems,kuna akina mama kutokana na matatizo kadha wa kadha inabidi wasaidiwe kubebewa ujauzito na akina mama wengine al maarufu 'surrogate mother'
lakini, inaelekea huwa kuna uhasimu wa kihisia baina ya mama orijino wa mtoto na surrogate mother.
Surrogate mother anapata nafasi ya kubond na mtoto akiwa tumboni, anaanza jlkujisahau kama yule si mtoto wake.
Mama orijino anakuwa frustrated maana anakosa muda wa kubond mtoto akiwa tumboni.
Hebu nielezeni, how to cope na hali hii wote kwa mama orijino na surrogate mother.
Na je, baada tu ya mtoto kuzaliwa, surrogate mother aondelewe mara moja?
Am confused, help!