Eliza anakuambia hiyo dushelele yenye upako kwake nafuu :becky: zaidi kuliko huo mpango wa kizungu
I understand the world is just like a village, lakini mambo kama haya ni mageni sana huku Africa kwa sasa.
Could u start some thread with regard to KILIMO KWANZA so that we dance to the same tune?
mchungaji anakugegeda afu anakuambia kakuombea na wewe unaona sawa?
Baba wa mtoto anakuwa pasta?ama mmewe?
Eliza anakuambia hiyo dushelele yenye upako kwake nafuu :becky: zaidi kuliko huo mpango wa kizungu
Hii ni bora sana kuliko kwenda kwa mchungaji aishie kukumega tu :becky:
Na nilifikiri hao wadada wa Kinigeria walikuwa wana matatizo ya akili...
kumbe wako weengi wanaoamini hivyo aisee lol
sio maombi wala adhabu!Hivi unawezeja mtu kumegwa huku unaimbishwa maombi...
na wewe ukatoka umeamini kabisa? lol
sasa ni maombi au adhabu? lol
am a business woman
na huwa siachi biashara
regardless ya challenges zilizopo
am serious here
If you take it as a gift of life, sioni tatizo liko wapi. Endapo utachukulia lucky enough kuwa na mtoto mwenye mama wawili. Ila surrogate mother anapaswa kujidetach na mtoto immediately after birth nadhani.
mbegu ni za mwanaume...
mfano mimi na wewe,mtu na mkewe lakini mama yako ndo atabeba mimba kutuzalia watoto
we unaona yupi ni original mom?
U know what, it sounded like all examples and quotations u hv given were from America!
Anyway...may be iam too confiscated inhere!
Poor me!
Hakuna mbegu before fertilization wewe! Hivyo manii zako na ovum ya mkeo unachavushwa nje ndio kizygote kinawekwa kwenye Tumbo la surrogate mother.
It doesn't matter if they are Americans or Argentinians.
They are people and that's what matters the most.
hivi tunavyopeleka wapendwa wetu kupasuliwa mioyo na kuwekewa mirija pandikizi, ni Indians? Ama tanzanians!
Kupandikizwa moyo, sawa eti mtoto iwe si sawa?
Mbegu si ndiyo sperm? Na manii si ndiyo semen? Au nakosea?