Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Sina mabaya ninayo yafanya kwanini niogope...Huogopi wenye?
Eheeeeee..Mkwe hebu nipe mchapo basi siku zile uliniambia utaniambia hii ishu hadi leo hii unajifanya umesahau...:eyebrows:Nilishawahi kufanya surprise ikani-surprise mwenyewe sina hamu.
Kweli kabisa. . . surprise sio lazima iwe costly. .waweza fanya kitu kidogo mtu akakumbuka maisha.suprise ni ngumu kuisahau maishani! kama unataka mtu akikumbuke hicho umemuandalia fanya bonge la surprise kwake! gharama ni kitu kingine na surprise ni issue nyingine!
Ninapenda kufanyiwa surprise kwa sababu sina cha kuficha, lakini sipendi kumfanyia mtu kwa sababu ya kuheshimu "privacy" yake, na kuogopa kuwa surprised kwa surprise yangu.
hahaha Maundumula mie niliamini siku zote ni mtu mmoja mtaratibu na mwenye heshima kubwa ..
Lakini wakati mwingine naona kama mungu huwa anakufunulia bwana
Huogopi wenye?
Yeahh ni namna nzuri ya kumkamata mwenzio kama ana lake jambo. Ila za kuviziana sio nzuri aisee.
Lizy, kumwambia nini? Nimwambie anifanyie surprise au kumwambia ninapenda, ninakuruhusu unifanyie surprise?Kweli kabisa. . . surprise sio lazima iwe costly. .waweza fanya kitu kidogo mtu akakumbuka maisha.
MammaMia sasa mwenzio atajuaje unapenda usipomwonyesha kwa vitendo? Unamwambia?
Ninapenda kufanyiwa surprise kwa sababu sina cha kuficha, lakini sipendi kumfanyia mtu kwa sababu ya kuheshimu "privacy" yake, na kuogopa kuwa surprised kwa surprise yangu.
Hahaha I know. . . Ila kuna wale wanaebda kuvizia kuona kama watakutana na mambo kama sio majambo. Siunajua tena watu wengine mahusiano yote kazi ni KUPIMANA!!Hahaha, sio kuvizia, ila kama ndo 40 yake too bad! But its for the fun of the moment.
Hahaahha. .Alikuwa yupo kwao mwanza, jana yake usiku tuliongea sana kama kawaida zile za "kata wewe"
asubuhi alinipigia mapema akidai jana hajalala kwa kuniwaza, sasa nkaanza kusikia ile sauti ya kwenye simu inatokea ndani dah kumbe alishafika akafungua mlango kwa funguo zake....
Hahahaha siku yangu ndio ikawa imeishia hapo nika-cancel ratiba zote!
Sijawahi kuweza kuisahau hyo siku hadi leo utafikiri ilitokea jana...!
Afu we Lizzy kwanini unatukumbusha haya mambo?
Fafanua dearest. . .
Mazingira gani mazuri gani mabaya?
Kampani gani nzuri na gani mbaya?