Surabaya

Surabaya

Ndio mama, ntawafikishieni kwenye bonge la hoteli, vyumba tofauti tofauti, sitaki mambo ya threesome, mtaigiliziana majibu

hakyanani.....tangu uupate uprofesa umekuwa kama chupaki na chukurubu!!
 
Ndio mama, ntawafikishieni kwenye bonge la hoteli, vyumba tofauti tofauti, sitaki mambo ya threesome, mtaigiliziana majibu
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
gesi ndio inachimbwa hivi jamani?

Nilikutana na jamaa wako na majembe yao wanachimba, nikauliza mnachimba nini pembeni ya barabara, wakasema wanachimba gesi.

digging_hole_for_latrine.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom