Habari wana jukwaa,
Tukielekea mwishoni mwa mwaka ambapo tunakuwa na mapumziko marefu.
Ningependa kujua wenzangu mnapenda kufanya nini kipindi hiki cha mapumziko marefu? Binafsi napenda kusafiri na kusoma vitabu vya kurefresh pia kusoma nyuzi na visa mbali mbali ambazo wana jukwaa wanakuwa wamepitia au tu stori.
Mfano kwenye vitabu miongoni vilivyo nivutia ni kama, Tell me your dreams, relentless na vyote vilivyo andikwa na Sidney Sheldon, vitabu vya James Hadley, the Godfather by Mario Putzo, Find him and I will fix him n.k
Pia kwenye visa na nyuzi za jf sijaona muda mrefu humu mtu akiandika, Mfano ile stori ya Khumbu wa South Africa, yule Dereva Uber wa Dar, Yule alieenda kutafuta maisha kusini n.k kiukweli ni visa vya kusisimua sana
Ningependa kujua wenzangu huwa mnapenda kufanya nn?