Surabaya

Surabaya usiku

436px-Surabaya_Zentrale_Wolkenkratzer_Abend.jpg
 
Halafu Bujibuji hivi ukoje
saa hii uko huku
kipindi cha hesabu umemwachia nani?
Mamndenyi watoto wanataka niwape peaches and cream, sasa mi kuanzia elimu ya msingi nasomea chini ya mpapai, ntavijulia wapi hivyo vishikolo vigeni?
Yaani juzi ndio nimejua kuwa sio matotosi, ni tomato source.
Kazi ninayo
 
Last edited by a moderator:
Malaysia hiyo, Surabaya ni mojawapo ya mimi bomba nchini humo ukiwepo Ipoh na kuala lumpur
 
Tukiambiwa tuandike tu majina ya maeneo, mbona kuna mengine itakuwa mwache mwache hapa...
 
yani naona Bujibuji umeanza kunitafuta, nimekurupuka mbio kumbe mji wa surabaya, afu kwenye jukwaa la picha nako mtu kaweka kapost kakizushi eti baoooo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom