Kijiweni special thread

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,449
3,422
Uzi maalum wa free stress, maswali ya kufikirika na majibu yake
Yani ni kjiwe cha kahawa kilichochangamka ama ni kijiwe cha masela baada ya kuzunguka majukwaa ya siasa, intelligence, MMU na kwinginepo ukasema hebu nikapige soga, muhimu uwe na popcorn za kutosha habari za kugongea hatumaind,

Maisha yenyew mafupi haya we jitie upo siriasi sana na maisha shauri lako

Swali la kwanza la kizushi, Tujaalie umebaki peke yako katika huu ulimwengu ni kipi kwako kitachofuata?
1702213012455.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Uzi maalum wa free stress, maswali ya kufikirika na majibu yake
Yani ni kjiwe cha kahawa kilichochangamka ama ni kijiwe cha masela baada ya kuzunguka majukwaa ya siasa, intelligence, MMU na kwinginepo ukasema hebu nikapige soga, muhimu uwe na popcorn za kutosha habari za kugongea hatumaind,

Maisha yenyew mafupi haya we jitie upo siriasi sana na maisha shauri lako

Swali la kwanza la kizushi, Tujaalie umebaki peke yako katika huu ulimwengu ni kipi kwako kitachofuata?View attachment 2844718

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Honestly, I'd just smoke weed everyday reminiscing the moments I shared with humans.
 
Ila hata kama hatutakiwi kuwa serious na maisha ila sio kwa utoto unaotueleza hapo hivi huwa najiuliza thread zako nyingi huwa unaandika ukiwaza kwa kutumia nini?
 
Usichukulie Kila kitu serious mkuu. Watu wana vitu vingi sana vichwani mwao, go easy on them.
 
Back
Top Bottom