Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,716
- 3,365
Ukitembelea YouTube channel za wenzetu huko 'mbere' utaweza kujifunza maarifa mengi sana ktk eneo lolote lile iwe ni ishu ya kisayansi, siasa, uchumi, kijamii n.k ukipitia posts na zile comments za wachangiaji ni darasa tosha.
Na hii haijalishi kama media husika ni rasmi yani zile za serikali au mashirika rasmi ya habari, bali hata zile media za wahusika binafsi.
Sasa kimbembe tembelea YouTube channels za kibongo unakuta post nyingi ni habari za wanasiasa, habari za matukio na uzushi (udaku).
Yani ni nadra sana kukuta habari za kujenga maarifa.
Sasa nenda kwenye comments za wachangiaji huko sasa ndo vimejaa vitimbi vitupu unakuta mtu anaandika ''kama unanikubali like hapa" au unakuta badala ya kuandika chochote, mtu anaweka alama ya moto tu yani full vituko.
Hivi watz tuna matatizo gani?