TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,200
- 22,490
#MICHEZO: Golikiwa wa Klabu ya Jamus FC Goodwill Yugusuk ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Sudan Kusini ya vijana wa chini ya umri wa miaka 23.
Yagusuk pia amewahi kuiwakilisha Sudan Kusini katika kikosi cha chini ya miaka 20, pia timu ya Taifa ya wakubwa.
Kinda huyo kwa sasa ana umri wa miaka 22 PEKEE na anatarajia kutimiza miaka 23 mwezi januari mwaka 2027.
Sura siyo umri au hapa kuna udanganyifu?
✍: @nickymeena_
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV