Supu ya Uswazi...

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,042
21,517
IMG20210707105426.jpg
 
Haujakoma?Ngoja uumwe tena tumbo.Linda sana tumbo lako.Penda kula viazi vilivyochemshwa,mtindi,maziwa fresh,juice za matunda mbalimbali,dona,karanga mbichi,matunda,mboga za majani,nafaka za ngano,mtama,mihogo,supu ya samaki na kadhalika.
 
Rafiki hivi vyakula ulivyoorodhesha vinatoa corbon monoxide hatari sana baada ya kuchakatwa tumboni.
 
Back
Top Bottom