Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Nina mpango wakufungua maana watumiaji wameongezeka....
Mimi nataka nionje hiyo supu halafu nije kukuchakaza nione kama ulichosema ni kweli.
Nina mpango wakufungua maana watumiaji wameongezeka....
Mimi nataka nionje hiyo supu halafu nije kukuchakaza nione kama ulichosema ni kweli.
Utapambana na wahudu halafu wanaume.....
Wahudu ndio akina nani hao?
Wahudumu.....niliungua jikon na hyo supu.
Kama ni hivyo sitakuja mgahawani kwako.
Unaogopa kugeuziwa kibao???
Na nani?
Wahudumu......teh teh
Kwa taarifa niliyoipata ni kwamba miss strong na heaven on earth wanataka kufungua mgahawa wa supu ya pweza maeneo ya kinondoni, hapa wanafanya tathmini na kuhamasisha na kampeni ya " pata supu ya pweza hapa".
Wateja inaonesha tutapata wa katosha we ukiwa mmoja wao
Umeona ehee!Bora uwaelekeze maana wanashindwa majukumu yao
Kwani mumie hiyo juice inasaidia nini?
Hahahahaaaaa.....aya bana!we ni Mkenya???
nadhani kuna mengi ya kusaidiana kwa upande wa hili jukwaa...sasa kila siku...kwichi kwichi tuuu....mmmh...nimekosea njia...siji tenaaa humu!Lakini mkuu hili jukwaa si ndio mahali pake? Au wewe ulifuata nini hapa? UKAWA na TZ KWANZA??
nadhani kuna mengi ya kusaidiana kwa upande wa hili jukwaa...sasa kila siku...kwichi kwichi tuuu....mmmh...nimekosea njia...siji tenaaa humu!
Mkuu habari ndio hiyo!kuna ukweli fulani hapo mkuu , hizo vyakula zinaongeza hamu ya tendo.........
ila ile performance ya tendo lenyewe lipo zaidi kisaikolojia.
kupiga show ya nguvu au legelege , ya kasi au taratibu , ya kusisimua au kuboreka n.k....... hiyo yote inabidi ianzie kichwani kwa muhusika.
wazee wafanye mapinduzi mara ngapi.......