Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Hujambo mamii??
Mie mzima nimekumiss sana
Hujambo mamii??
kabla hujaanza kazi kwenye bodaboda hakikisha umepata supu ya pweza.
mazoezi na lishe bora.
Mie mzima nimekumiss sana
Halafu niwadindishie abiria wanipeleke polisi.
Mme rahisishiwa huduma jamani......!!!
Acha woga kabisaaa....koma misuli hiyo
Karibu.....nmefungua ofisi nauza supu ya pweza na juice ya tende.Natafuta wahudumu wa kiume hawakawii kunirukia
We unaogeleaga???wakwangu anapiga game mpaka basi
duh! sasa wewe unataka ku-describe emotion? kumbeka hapa unazumgumzia hisia huwezi kusema eti raha unayopata wewe ni zaidi yangu mie. there is no object way of measuring that raha. its all subjective.
leo nakupa ofa supu ya pweza
asilimia tisini ya post za wewe dada zinahusu mambo ya ngono, na ulishasema haujaolewa una bf. nakuhakikishia kuwa kama hautaolewa au kumkimbilia Mungu utapata ngoma muda si mrefu au pengine tayari, kwasababu unaonekana una pepo mahaba la ngono muda wote unawaza hayo tu ndiyo yalioujaza moyo wako. una umri gani wewe na unasali dadangu?Habari zenu wana jamii.....
Kama heading inavyojielezea jamani,kumekuwa na ongezeka la wauza supu ya pweza na juice ya tende mixer maziwa,Nilipojaribu kudadisi kwa undani zaidi haswa kwa watumiaji wa hizo bidhaa wanasema inasaidia kuleta heshima ndani ya nyumba.
Sasa nina maswali maana kumekuwa na malalamishi juu ya lower performance ya wanaume wengi inapelekea tunakosa raha jamani.
Kama hivyo ongezeni dozi ya hiyo supu jamani maana tunashindwa kuelewa tuwaweke kundi gani na mbona vijana wa zamani kama babu Asprin hawakuwa wanalalamikiwa namna hii???
Jitahidini la sivyo hao mnaoita wazee watafanya mapinduzi.
Jumapili njema!!!!!----------->>>ndukiiii
Teh teh teh!Sio mzee lakin mzimaaaaa sana kimaumbile.....yaan ana kifurushi!!!
Kwanza hata hizo tende na pweza mchango wake ni wa kisaikolojia tu mtu anajitutumua kwa imani kwamba imemsaidia!
asilimia tisini ya post za wewe dada zinahusu mambo ya ngono, na ulishasema haujaolewa una bf. nakuhakikishia kuwa kama hautaolewa au kumkimbilia Mungu utapata ngoma muda si mrefu au pengine tayari, kwasababu unaonekana una pepo mahaba la ngono muda wote unawaza hayo tu ndiyo yalioujaza moyo wako. una umri gani wewe na unasali dadangu?
Kwa taarifa niliyoipata ni kwamba miss strong na heaven on earth wanataka kufungua mgahawa wa supu ya pweza maeneo ya kinondoni, hapa wanafanya tathmini na kuhamasisha na kampeni ya " pata supu ya pweza hapa".