Supu ya pweza Vs Juice ya tende

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,012
3,694
Habari zenu wana jamii.....

Kama heading inavyojielezea jamani,kumekuwa na ongezeka la wauza supu ya pweza na juice ya tende mixer maziwa,Nilipojaribu kudadisi kwa undani zaidi haswa kwa watumiaji wa hizo bidhaa wanasema inasaidia kuleta heshima ndani ya nyumba.

Sasa nina maswali maana kumekuwa na malalamishi juu ya lower performance ya wanaume wengi inapelekea tunakosa raha jamani.

Kama hivyo ongezeni dozi ya hiyo supu jamani maana tunashindwa kuelewa tuwaweke kundi gani na mbona vijana wa zamani kama babu Asprin hawakuwa wanalalamikiwa namna hii???

Jitahidini la sivyo hao mnaoita wazee watafanya mapinduzi.

Jumapili njema!!!!!----------->>>ndukiiii
 
Last edited by a moderator:
jumapili umeianza vizur,kwa sababu nipo mikoan huku hatuna supu ya pweza wala tende embu wazoefu wa hiyo kitu watueleze..
 
wazee zamani kwani kulikua na JF au facebook? au porn mtu alikua anazipata just a click away? mwanaume wa leo ndivo alivokua hata wakati wa roman empire sema wanawake walikua hawana sauti, sasa mmepewa sauti leo kidogo mnaongea sana... pitia archives za zamani uone how long men lasted kwenye game..... u can never achieve perfomance mnayoiona kwenye movie za ngono, ile kitu haikoshot straight bila cut wala madawa....

Na a girl unataka usiorgasm nusu saa nzima jamaa yuko ndani anapiga game tu huoni una matatizo, au jamaa hajakuvutia, most girls dakika kumi nyingi ashalia anaomba po avute nguvu kwanza...
 
bora na mie nina bill ya maziwa ya ngamia pale kisutu ,heshima tupu ndani ya ndoa mchaka mchaka mwanzo mwisho
 
Umezunguka weee, umefika ulipokusudia. Kizee atabaki kuwa kizee kuanzia nje hadi ndani kitandani!

Au umesahau 'mkwanja mrefu kukomoana zero'?
Au unajipa moyo wao hawataki kukomoa?

Hapana chezea damu mbichi. Mechi fainali mkwanja zero!
 
Umezunguka weee, umefika ulipokusudia. Kizee atabaki kuwa kizee kuanzia nje hadi ndani kitandani!

Au umesahau 'mkwanja mrefu kukomoana zero'?
Au unajipa moyo wao hawataki kukomoa?

Hapana chezea damu mbichi. Mechi fainali mkwanja zero!

Jipeni moyo tu......siku hiz mkiona papuchi mnamwaga nakujidai mna presha sasa mapinduz ni lazima
 
Back
Top Bottom