Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
CCM ndio mdudu gani?????
Pweza.
CCM ndio mdudu gani?????
hili jukwaa la mahusiano na mapenzi unataka ajadili nini???
tutafika..., wakina nani hao
Jipeni moyo tu......siku hiz mkiona papuchi mnamwaga nakujidai mna presha sasa mapinduz ni lazima
mie nna mzee wangu shughuli si haba, na kulea wanajua
hawa vijana wa chips mayai goli moja chali
Tende+ Asali+ Maziwa fresh vi-blend pamoja tia kwenye glass yako....uwe unakunywa mara kwa mara. Mwanaume utakuwa unashughulika hadi raha na kama una mwanamke ambae mikiki ya sita kwa sita kajaaliwa...mbona burdaaani!
Sasa kama unashindwa kugegeda unategemea heshima itoke wapi????
Nikisema wabongo akili ziko upande wa chini mnaanza kuja mkitokwa povu!
View attachment 176540
Tende zitakua adimu sasa.
Tende husaidia pia kwenye mambo ya malavi davi. Iloweke tende kwenye maziwa ya mbuzi usiku, asubuhi changanya maziwa hayo na asali kisha kunywa, njia hii husaidia kuongeza nguvu na stamina za kufanya mapenzi.
kumbe kugegeda ndio heshima ndani ya nyumba....mie naona hamna heshima maana mbona ata mbwa anaweza gegeda. heshima pesa
Teh teh teh......yaani wanatuchosha.
Viroba + Zanzi za Savoy vinakupelekesha puta.
HaHaHaaa! menifurahisha sana wajukuu zangu,thatha mnipe contact zenu,niwape siri
Nikisema wabongo akili ziko upande wa chini mnaanza kuja mkitokwa povu!
Nyinyi kuweni wazi kuwa mna mpango na pesa za vizee: ukikuta babu anapiga gemu ujue kabwia kidonge cha blue muulize Babu Asprin huwa ananituma nika mnunulie.
Cc: Heaven on Earth