Usisome novel wakati shughuli mpepea???ndo maana tunasisitiza unywaji wa supu ya pweza
We unatumia njoi
siyo ivo unavyofikiria me nikishashiba tu msosi utakojoa hadi mara sita
Nitalala na wewe lakini najua utalalia pajani tu.....huna ubavu wa kupiga bao kama muuza fagio
dah....kumbe wanawake nao akili zao zipo kwenye papuchi kama wanaume zilivyo kwenye dushelele. basi wacha tugegedane tuu.
sasa mikoani ambako hakuna pweza wala tende itakuwaje
Shiba tu lakini mwanaume asifiwi kula anasifiwa kazi!!!!
mzabzab acha kula chips yai....
mnaishia kuwapaka shombo wenzi wenu
uzuri tende ni zao la nchi kavu so dom waweza kulipata kwa urahisi sana na kama unataka basi panda mti wako uwan kwako utakula tende mwaka mzima
uzuri tende ni zao la nchi kavu so dom waweza kulipata kwa urahisi sana na kama unataka basi panda mti wako uwan kwako utakula tende mwaka mzima
Kwani mumie hiyo juice inasaidia nini?
Hiyo supu nashauri hata nyie akina mama na kina dada tumieni maana nanyi siku hizi hii shughuli ni haba sana kwenu, kuhimili vishindo kama akina mama zetu wa zamani imekuwa ni sheeeda tupu!
Tunasisitiza muongeze shughuli.....tunajisikia aibu jamam wakat mwingine!!!
mwee!! heshima gani hiyo mwazungumzia? au kugegeda napo ni heshima?