Suprise nyingine hazifai...

Halafu haya mapenzi ya utoto, kila mtu yupo kwao huwa yanamambo sana.
 
hii post nayo ni suprise kwetu! solemba
 
Hahaha! Ukiona manyoya machache ujue wamemkosakosa, ila kama yanajaa kiganja ujue keshaliwa.
 

Una hakika alikwambia ni "suprise" na sio "alert"?
 
Suprise gani?.......tayari wajanja washakuwahi....ka vipi potezea....kaa chini jiulize kwa nini umetoswaaa?.....kisha chukua hatua za kumtafuta mlimbwende....but vizuri ni gharamaa
 
Heeh unazima simu then unasema suprise??hii kali aisee tena ijumaa wikenda?lol!something is wrong somewhere..
 
Nifanyeje kwa hili? Roho inaniuma kwa kuwa ninampenda sana huyu binti!

Kubali............that the...game is over and that it was nice as it was coming to a short surprisingly end.............kwako the end is premature but for her it is time to move on.............
 
ebu nipe namba ya huyo demu wako then ntajitahidi kukufanyia uchunguzi maana unaonekana unampenda sana na si vizuri umpoteze
 
kamaanisha anakuacha kisapraiz lol zinduka wewe:A S 12:
 


na yeye mpige SURPRISE,mkatie mawasiliano kama ka mwezi kamoja!kama vipi bakia na NIDANGANYEDANGANYE!
 
Mkuu we mwache aendelee na surprise yake pia m pm Bishanga akupe maujanja kwani yeye wadada wengu tuu wanamshobokea we unahangaika na anayakusuprise kwa kukukatia simu na wakati kuna wengine wanahitaji kuwa nawe muda woteeeeeeee...Wapi Bishangaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

bishanga ni famous c nitaibiwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…