Support niliyoipata kutoka JF, thank you all

Support niliyoipata kutoka JF, thank you all

Pole sana Heaven Sent kwa kuondokewa na kipenzi Baba yako. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Kuna siku utakuwa unamkumbuka sana na hata kufikia kulia na kuna siku utamkumbuka na kukuletea tabasamu kubwa ukikumbuka mambo mbali mbali ya baba na binti yake yakiwemo maongezi mbali mbali. Mungu awape nguvu na subira kipinfi hiki kigumu kwenu cha kumkumbuka kipenzi Baba yenu.


I'm touched. Thanks much
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeandika maneno ya shukrani ya dhati. Mungu azidi kukupa Faraja ww na familia yako. Umenigusa uliposema hajakupa tu damu yake bali na mengine. Ni kwa neema tu. Ujumbe wako huu unanipa sababu milion za kumshukuru Mungu kwa kunipa baba, mshauri na rafk kwangu. Mungu akupe amani yake mpz.
 
Pole sana Heaven Sent.

Sikusikia taarifa za kusikitisha kwa kuondokewa na Baba yako Mpendwa.

Muhimu ni kumfanyia Maombi Mzee.

Kwa mara nyingine tena, Pole sana
 
Babu na Bibi wazaa mama Wacameroun, Babu na Bibi wazaa Baba Wacameroun mie mjukuu wao nitakuwa na utaifa wa nchi gani? 🙂🙂🙂

Tangu lini umekuwa mkameruni wewe!!
Dota anisamehe tu, uchakachuzi umegoma kuniacha.
 
Pole sana HS,
Hii threads inamaneno ya busara sana, nikajikuta natamani kufanya uchunguzi kuhusu 1/4, nilivyoanza kupitia page ya kwanza hadi ya tatu nikaanza kuwalaumu wale watafiti kimoyomoyo, sikuona kabisa ile 1/4 yao. Ila sasa kuanzia page ya 4 hadi hii ya mwisho nimeamini utafiti wao walidanganya ilitakiwa iwe 1/2.
 
Heaven Sent sikiliza/angalia hii clip...esp huyo dogo anapoelezea kwa nini anaimba that song...then listen to the song. [HASHTAG]#together[/HASHTAG]


I wished you the best of all this world could give
And I told you when you left me
There's nothing to forgive
But I always thought you'd come back, tell me
All you found was heartbreak and misery
It's hard for me to say,
I'm jealous of the way
You're happy without me

It's hard for me to say,
I'm jealous of the way
You're happy without me

Ndaga mweee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom