Support niliyoipata kutoka JF, thank you all

Support niliyoipata kutoka JF, thank you all

Basi hukiwahi tu kumfuatilia ungelijua hilo siku nyingi

Hili neno limekua msamiati mgumu kutoka mdomoni mwangu acha tu niseme I love you Heaven Sent ,if wishes were ......

Ni mwanamke wa kipekee humu Jf na pia nje ya jf

Mungu aendelee kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu na kuwafariji

Nakumbuka mara ya mwisho tunachat ule uzi wa Kassim Mganga dah

Pole sana HS

She is one and a half...

I love her too...!!!

Am her secret prayer !!!!

I wish....!!!
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mungu anipe nini zaidi ya hii baraka ya kuwa na the best dota.
 
pole sana HS. ktk familia yenu.tunasema sasa mmekua kwa sababu mwanzoni tulitegemea ushauri toka kwa baba.lakin sasa hatupo naye tena ametangulia kwenda kwa baba wa milele. alivyowajenga na kuwashauri katika mazuri mnatakiwa kuishi katika mashauri yake tunakutegemea sana kwa maelekezo mengi kutoka kwa baba yetu alivyokuelekeza R.I.P our father
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom